Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

WANATAKA KUTULETEA ROHO ZA KIMASIKINI

WAENDE RWANDA WAONE

WAMEITA WACHINA WANATENGENEZA VITU HUKOO
Rwanda ni NCHI masikini sio hata ya kuitolea mfano ukienda nje kidogo ya mji ukiwaambia unatoka Tanzania wanakuzonga uwalete Daslm ila humu mnavyoisifia utadhani pana Nchi ya maana kumbe hakuna kitu.
 
Sema wabongo inatakiwa tuwe tunajiongeza, akitokea mtu mjanja akatarget faida ndogo sana kutoboa ni rahisi sana. Kuna wachina wameanza kuvamia sekta yetu ya madini, wasije anza kutulaza njaa.
Noma Niko huku migodini wachina wamenunua milima kibao yenye dhahabu wanaishusha tu taratibu
 
Kuna memory kadi ya 128GB mchina aliniletea kwa 5k nikamwambia hapa bongo ni 87k akashangaa kinyama.
Ninazo mashine za kuchaji za kunyolea wanangu mchina aliniletea kwa 37k ulizia bongo Sasa , ninazo mwaka wa saba huu hapa wanangu hawapendi saluni.
Machine Sawa ila memory card ya 128GB nakataa maana hata kule Pinduoni,taobao,1688,Alibaba hupati kwa hata Kwa 10K!!!
 
Tv gani inauzwa hivyo? Usidanganyike. Wachina wenyewe ndio wanaouza tv kama Ailyons kwa wafanyabiashara wa Tanzania kwa jumla ambao nao wanakuuzia wewe. Tena wachina wenyewe wapo kariakoo pale pale. Hakuna tv ya sh 70k uje uuziwe sh 900k. Huo ni uongo wako.
😄 humu watu wanapigana upepo

Ova
 
Google:

1. Production cost.
2. Brand.
3. Goodwill.
4. Targeted Market

Ukisoma hivyo vitu utaelimika sana sana sana!

Note:

1. China wana product za Africa.
2. Wana product za USA
3. Wana product za Europe.

Mimi mfanya Biashara nikinunua product USA ambazo ni za China, haziwezi kuwa na bei sawa na product za China kwa ajili ya Africa!
Na wabongo asilimia kubwa hatuna uwezo wa kununua product ya usa,Europe kutoka China

Ova
 
Back
Top Bottom