1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,143
- 14,245
msitupe marafiki, mie nna washkaj sehem kibaoš,,
.nikitaka kuku nna mwana yuko na hiyo biashara ni kupiga simu tu kuku huyu hapa,
nkitaka nyama ya ng'ombe vile vile nna wana dk kadhaa nyama ishafika tena ni kidališ,
nikitaka mavazi ndio kabisa napigiwa simu oyaaa mwana nafungua mzigo njoo uchekš,, na mengineyo meeengi
ishi na watu vizuri la sivyo mtapigwa sana na midosho