Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Tatizo linakuja hapa

Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,

Sema moja, Purchasing price

Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,

Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20

Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa

Atalipia wharfage charges kama inahitajika

Atalipia shipping line charges,

Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,

Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,

Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,

Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,

Kuna makato wakati analipia mzgo

Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
Wachina wamekuja kuwasaidia msiteseke.
 
Hakuna namna yeyote kiatu cha 5000 kikauzwa 120k, wabongo mnapenda sana kumezeshana ujinga!
 
Back
Top Bottom