Du hatarUnaagizaje mzeya...mie nataka kuagiza lile doli la mapenzi. Hizi mbususu za warembo wakibongo zimepanda bei
Tafadhali mpatie supplier wako address yetuHawa majamaa yanazingua kinoma sasavi nikitaka kitu naagiza tu china Tena Kwa njia ya ndege chap tu,
Wengi hawawezi kukuelewaBongo tunaumizana kisa njaa, alafu shangaa mtu akishapata mamilioni ya fwedha kwa njia ya haramu baada ya muda nafsi inaanza kumsuta unashangaa anaanza kugawa hovyo hovyo.. waliokulia kanisani utawaona wanavunga kutoa sadaka.. wale wenzangu na mm ndo kutwa kuzungusha bia bar, wasio na dini utaskia wanalisha watoto yatima etc..
Ila ukimuangalia anaetoa hizo sadaka hafananii na mtu mwenye hela, yaan uso hauna nuru, Body language bado ya kimaskini.. unagundua tu huyu hajawa blessed naturally, anatoa sababu keshapata alichokua anakitaka akahisi kitampa furaha saizi anateswa na hatia..
Just Earn a decent income, an income that is rightfully yours then rejoice in every way possible!!
To be free in life is to detach yourself from it, and not to succumb in its material thingz!
Kudadeki! Nimetema yai la Mbuni, kwa hisani ya watu wa Marekani!!
Kuna wale wachina wa citi store,wanakuwaga na ofa baadhi ya siku ukifika dukani kwao chochote utakachokiona ni bei yake ni elfu 3Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana kariakooo, na walizunguka media mbali mbali kuonyesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...
Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa saana wakiuza jumla....
Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.
Cadet za kiume jeans wanauza 20,0000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.
Wafanyabiashara wa china wameanza kuonyesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Apo ukute washapiga faida ya kutosha siku za nyumaKuna wale wachina wa citi store,wanakuwaga na ofa baadhi ya siku ukifika dukani kwao chochote utakachokiona ni bei yake ni elfu 3
Sabufa za sea piano ni alfu tatu huku wanauza mpaka laki mbili😃Wachina wake tu,hawa wabongo wenzetu wanatuzinguA sana.hisense tv inchi 50 china ni laki Moja tu huku wanatuuzia milioni Moja na nusu
Na vijana maskini washamba wanaanza kumuona huyo jamaa ana akili sana ..Utasikia yule jamaa anajua sana kumbe anaumiza wenzie .
😂 Ila wewe akili zakoUnaagizaje mzeya...mie nataka kuagiza lile doli la mapenzi. Hizi mbususu za warembo wakibongo zimepanda bei
Sasa nyie wenyewe mbususu mnasema $10000 mwee nani atumie hela yote hiyo kula mbususu😂 Ila wewe akili zako
Hakuna nchi 50 laki mojaWachina wake tu,hawa wabongo wenzetu wanatuzinguA sana.hisense tv inchi 50 china ni laki Moja tu huku wanatuuzia milioni Moja na nusu
Hauna akili ya Biashara.hutoweza kuelewaMwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana kariakooo, na walizunguka media mbali mbali kuonyesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...
Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa saana wakiuza jumla....
Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.
Cadet za kiume jeans wanauza 20,0000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.
Wafanyabiashara wa china wameanza kuonyesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Kumbuka kiatu hicho anayeagiza hapa Tz labda ni mtu wa duka au supplier kwa bongo, ana bei yake ambayo ni affordable tuu,Unazoongea hapa bado hazina uhalisia wa gharama uuze mpaka mara mbili yake...Kama utabisha basi itabidinikupe maelezo zaidi.
Hizo lazima tupite nazo! mbongo ni mshenzi! ndio maana yamefisadi nchi imebaki makombo!Kuna cement za kichina zinakuja juu sana sokoni bila shaka nazo bei ni ya maandazi.