Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Hao Wachina wao kodi haziwahusu?
Kama inapitishwa kimagendo hapo customs unafikiri haiwezkn?

Kama uwekezaji wao unaonyesha kiasi tunachotakiwa kulipwa tukiwa wafanyakazi wao lkn viongozi wa nchi hii ndo wanaochukua fungu tukiambulia mishahara ya laki na nusu

Mchina Hana shida hata kidogo
 
Kama inapitishwa kimagendo hapo customs unafikiri haiwezkn?

Kama uwekezaji wao unaonyesha kiasi tunachotakiwa kulipwa tukiwa wafanyakazi wao lkn viongozi wa nchi hii ndo wanaochukua fungu tukiambulia mishahara ya laki na nusu

Mchina Hana shida hata kidogo
Kwani kuna mTanzania hata mmoja kwenye biashara zake anayelipa kodi sahihi ukiondoa watumishi wa umma ambao hukatwa PAYE juu kwa juu?
 
Wanasema, kumbe ile Airforce ni 5,000. Depal ...😁
Airforce original kupata kwa 5000 haiwezekani. Hizi zinazouzwa kwenye maduka yetu unaweza kupata kwa Tsh 8000 ukichukua nyingi. Ndo hizi utakuta zinauzwa hadi 70000.
 

Attachments

  • IMG-20250415-WA0055.jpg
    IMG-20250415-WA0055.jpg
    37.1 KB · Views: 21
hakuna kazi ngumu yoyote...Hawa silent ocean wanacharge mzigo kwa CBM moja 350-450 USD na hapo imecover kilakitu kuanzia usafiri,kodi,kushusha ,warehousing n.k na faida kibao wanapata... Ndio itakuwa hao wanaofunga wenyewe container la 20ft/40ft
CBM moja dola 450!? Mbona gharama kubwa sana!
 
Kuna siku supermarkets na supply chain yote ya nchi hii ITASHIKILIWA NA WACHINA.

Hiyo siku ikifika mtakuwa kama mbwa kwenye nchi yenu na mtalia na kusaga meno maana WACHINA ndo watapanga bei za viberiti na condoms.

Kwa kifupi mtatawaliwa tena kama ambavyo hali ilikuwa kabla ya 1961. Matajiri wakubwa watakuwa wachina na wata-influence hadi mnachokula maana chain yote watakuwa wao tu.

Wachina watakuwa wana-fund kampeni za wanasiasa, watakuwa na lobbying groups zenye nguvu na watapanga hadi Rais awe nani. Maelekezo ya kuhusu nani awe Rais yatakuwa hayatoki Dodoma, yatatoka BEIJING

Mwafrika ni kama kenge. Huwa haamini kitu mpaka kimkute.

Ukoloni sio lazima watu waje na vifaru. Just control the supply chain and you are good
Sio kweli .. China ni taifa linaloinukia kwa sasa .. na kumbuka mchina miaka ya 60 alikua chini mno ilhali hata kuifahamu China yenyewe haikua rahisi .. muarabu .. mzungu na mhindi ndo watu walikua wametoka na kuonekana huku kwetu ilhali hadi leo wahindi wanatamba kwenye maghorofa ya kila halmashauri hapa Tz .. sasa kusema mchina atatuamulia hasi kwenye mamlaka ya utawala si kweli hii ni China rising Acha nao watoke na wafurahie rising yao .. unaeza shangaa miaka 30 ijayo linaibuka taifa lingine nalo linakuja kwa style hii .. hivyo kwa sasa ni kukubaliana na hali tu hamna namna ..
 
Back
Top Bottom