Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...

Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa sana wakiuza jumla.

Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa Kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.

Cadet za kiume jeans wanauza 20,000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.

Wafanyabiashara wa China wameanza kuonesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Okay
 
Watu wakitaka wachina wafukuzwe basi wakubali turudi kwenye Ujamaa jumla jumla serikali iwapangie mwisho wa bei ya juu (price cap) kwenye bidhaa zote.
 
Kuna memory kadi ya 128GB mchina aliniletea kwa 5k nikamwambia hapa bongo ni 87k akashangaa kinyama.
Ninazo mashine za kuchaji za kunyolea wanangu mchina aliniletea kwa 37k ulizia bongo Sasa , ninazo mwaka wa saba huu hapa wanangu hawapendi saluni.

Mkuu achana na memory card / flash za kichana, zitakuja kukutia adabu mimi nilishalia.
 
Unaposema nje unamaanisha nini? Mimi niko very specific kwamba Wachina wanaelekea huko. Na sasa hivi wanachuo chao huko Kibaha "wanatrain" CCM na viongozi wake.

Sasa niambie ni wafanyabiashara gani wa Kimarekani wana influence sasa hivi ya kuchagua nani awe Rais? Maana hoja yako ilijikita hapo.

mku hao jamaa wengi hawajitambui, focus yao ipo kwenye bei ya jeans na raba
 
Binafsi sina tatizo na hii ya uwapo wa Wachina iwapo tu mamlaka zetu zitahakikisha bidhaa wanazoleta huku zina quality ya juu, kama ambavyo wanapelekea Europe, Canada na US. Au at least ziwe na kiwango fulani. Tatizo hawa Wachina na hao wafanya biashara wa Kariakoo, wanaenda kuleta mavitu low quality wanatuuzia huku kwa bei kubwa.

sasa hizo bidhaa zinazo kwenda europe zikiletwa bongo atanunua nani?
 
NDUGU UNAJUA KELELE ZA WATU WA KARIAKOOO ATI WACHINA WANAFANYA KAZI ZA WAZAWA HAKUNAAAA

WANACHOUZA WACHINA CONGO 7000

UPANDE WA PILI. N 80000

NDIO MAANA SERIKALI WAMEACHA KUWASIKILIZAA WANAWACHORA KELELE ZAOO
Mkuu jitahidi siku moja uagiza walau tu bidhaa za milioni 50 alafu mzigo ufike bandarini ufanye clearence utoe hapo upeleke store then upeleke dukani

NDUGU UNAJUA KELELE ZA WATU WA KARIAKOOO ATI WACHINA WANAFANYA KAZI ZA WAZAWA HAKUNAAAA
WANACHOUZA WACHINA CONGO 7000

UPANDE WA PILI. N 80000

NDIO MAANA SERIKALI WAMEACHA KUWASIKILIZAA WANAWACHORA KELELE ZAOO

Unazoongea hapa bado hazina uhalisia wa gharama uuze mpaka mara mbili yake...Kama utabisha basi itabidinikupe maelezo
Mkuu jitahidi siku moja uagiza walau tu bidhaa za milioni 50 alafu mzigo ufike bandarini ufanye clearence utoe hapo upeleke store then upeleke dukani. Mfano umenunua bidhaa kwa shilingi 1000 kwa pc1 weka hapo gharama ya kusafirisha weka kodi bandarini, weka gharama ya kusafirisha kutoka bandarini hadi store, gharama ya kupakua, kodi ya store, kodi ya dukani, tra manispaa leseni, service lv, taka, fire, mlinzi, mishahara ya wafanyakazi. Mchina yeye hana paspot ya biashara yeye hana duka ana store pekee hapili kodi za tra manispaa.
Embu fanya umiliki biashara mwaka 1 dhen urudi hapa kutupatia mrejesho Kariakoo frem ya duka ni 800,000 hadi 2,000,000 kwa mwenzi unalipa mwaka, kilemba ni 8,000,000 hadi 20,000,000
 
Wauzaji wa kibongo blender nyingi wanatuua sana kwenye bei, nimefuatilia bei yake sokoni china ni kama shs 9,200/- hadi 20,000/- sasa hiyo ya 9200 hapa tunalimwa 50,000/- na hiyo ya 20kl unafungua walet na kuzihesabu msimbazi 120kl.
Mzee unajua CMB 1 Zinakaa Brenda PC ngapi na gharama ya kusafirisha hiyo CBM 1 ni kisasi gani? Kodi ya frem na store ni bei gani. tafuta majibu ukipata rudi hapa tupatie marejesho pia.
 
Mzee unajua CMB 1 Zinakaa Brenda PC ngapi na gharama ya kusafirisha hiyo CBM 1 ni kisasi gani? Kodi ya frem na store ni bei gani. tafuta majibu ukipata rudi hapa tupatie marejesho pia.
Watakibishia
Lakini kiuhalisia kufanya biashara bongo ni kazi sana
 
CMB nieleweshe ndiyo nini?

sorry nime gugu (as per Makala)
A standard 20-foot shipping container has a cubic meter (CBM) capacity of approximately 33 cubic meters. This means it can hold about 33 cubic meters of goods.

Detailed Explanation:
  • Standard 20-foot container:
    A standard 20-foot container has internal dimensions of 5.89 meters (length) x 2.35 meters (width) x 2.36 meters (height), resulting in a volume of approximately 33 cubic meters.
  • CBM Calculation:
    CBM is calculated by multiplying the length, width, and height of the container's interior space.
    • Example:
      In the case of a standard 20-foot container, 5.89m x 2.35m x 2.36m = 33.26 cubic meters, which is typically rounded down to 33 CBM.
    • Container Types:
      There are also 20-foot High Cube containers that offer a slightly larger volume, around 37 CBM, due to their increased height.
 
Na kule kwa wazungu, parachichi Moja linalotoka huku ni 30k, wakati huku walilinunua 0.2k.
 
Tatizo linakuja hapa

Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,

Sema moja, Purchasing price

Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,

Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20

Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa

Atalipia wharfage charges kama inahitajika

Atalipia shipping line charges,

Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,

Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,

Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,

Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,

Kuna makato wakati analipia mzgo

Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
Pamoja na upupu woote ulioandika hapa ndio uuze cadet shs 27,000 na umenunua shs. 3,000.

Niliagiza Hisense TV inch 75 jumla ya gharama zote haijafika hata milioni. Wewe unauza eti 2,200,000. Shenzi kabisa.
 
Hauna akili ya Biashara.hutoweza kuelewa
Ha haujui TARATIBU ZA KUMILIKI BIASHARA MJINI

GAP LAKO LINAANZIA HAPO

JIFUNZE KWANZA PROCEEDURE ZA KUMILIKI BIASHARA MJINI

KWANZA HAKUNA KIATU CHA DOLA 2

Kama kipo basi nendq uwe unanunulia china
Watanzania kila sekta wana exaggerate bia za bidhaa na huduma halafu mbaya zaidi ni low quality.now days kupata kitu original Tz imekuwa ngumu sana maana vya low quality navyo wana uza kwa high price.
 
Back
Top Bottom