Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 13,597
- 25,714
Hao wanauza wabongo wengi ni rejareja mm nilizungumzia zaidi supplierMchina anaeuza bidhaa hiyo hiyo kwa bei nafuu Kariakoo halipii hizo gharama ulizoweka?
Msililie wafukuzwe wachina sasa ni free trade, globalization ...
Siyo enzi za Ujamaa.
Lakini wale wa kwenye meza na maduka ndo wanauza bei kubwa, lkn supplier wa hapo kariakoo akiwa mbongo au mchina hamuuzi ghali hivyo,
Hujielew, sijaja dar es salaam kukuonea huruma, ukiweza pita kushoto, usiniletee nuksi hapa na hujalazimishwa.... Mshenzi yourselfPamoja na upupu woote ulioandika hapa ndio uuze cadet shs 27,000 na umenunua shs. 3,000.
Niliagiza Hisense TV inch 75 jumla ya gharama zote haijafika hata milioni. Wewe unauza eti 2,200,000. Shenzi kabisa.