Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana kariakooo, na walizunguka media mbali mbali kuonyesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...

Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa saana wakiuza jumla....

Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.

Cadet za kiume jeans wanauza 20,0000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.

Wafanyabiashara wa china wameanza kuonyesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Kadeti laki 2 inauzwa wapi?
 
NDUGU
WACHINA SIO WAJINGA KAMWEE MKUU

WALETE UNACHOLETA WEWEE WAUZE

BEI RAHISI NENDA KAULIZE
Kama hizo gharama za kuagizia labda useme clearing and forwarding ila nyingi zinamalizwa kwa akili ..Kuna inconterms ...Watu wanaletewa mzigo kazi ni kutoa bandari tu pale ..Na wapo waagent wanaleta mpaka mlango .
 
Sema wabongo inatakiwa tuwe tunajiongeza, akitokea mtu mjanja akatarget faida ndogo sana kutoboa ni rahisi sana. Kuna wachina wameanza kuvamia sekta yetu ya madini, wasije anza kutulaza njaa.
sio wameanza, wachina wananunua mpaka maduara, labda ulipo hawajafika, ila ni suala la muda tu watatia timu.
 
Tatizo linakuja hapa

Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,

Sema moja, Purchasing price

Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,

Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20

Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa

Atalipia wharfage charges kama inahitajika

Atalipia shipping line charges,

Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,

Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,

Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,

Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,

Kuna makato wakati analipia mzgo

Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
Sawa mkuu ila ndio 5000 kwa 120,000?
 
Hauna akili ya Biashara.hutoweza kuelewa
Ha haujui TARATIBU ZA KUMILIKI BIASHARA MJINI

GAP LAKO LINAANZIA HAPO

JIFUNZE KWANZA PROCEEDURE ZA KUMILIKI BIASHARA MJINI

KWANZA HAKUNA KIATU CHA DOLA 2

Kama kipo basi nendq uwe unanunulia china
Kipo cha Tsh ngapi boss?
 
Wizi na madili imekuwa kama fashion, ukienda kariakoo unakutana na wachuuzi tamaa mbele na mawinga wao, ukirudi huko serikalini na sekta binafsi kijana kaajiriwa leo, kesho anawaza kupata crown.

Halafu makapuku ndo wa kwanza kushangaa ukiwa sekta fulani halafu si tajiri. Utasikia "Jamaa yupo TRA ila hana kitu zaidi ya kale ka ist"
 
Back
Top Bottom