Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Tatizo linakuja hapa

Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,

Sema moja, Purchasing price

Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,

Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20

Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa

Atalipia wharfage charges kama inahitajika

Atalipia shipping line charges,

Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,

Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,

Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,

Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,

Kuna makato wakati analipia mzgo

Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
Acha wachina wakamate soko ..nyie si ghalama za uendeshaji zinawaghalimu!
 
Wanao unga mkono wachina kufanya biashara kariakoo dar es salam tanzania wakapimwe akili, kutatokea athari kubwa sana kwa wazawa kwani licha ya kuwa wanalipa kodi kuwa kwa serikali yao ila watafunga biashara kwa kukosa wanunuzi,matokeo yake serikali itakosa mapato,ajira zitapungua,litazaliwa kundi kubwa la uharifu kwani hao matajiri waliofunga biashara zao watakosa kazi za kufanya,na kwa vile wana connection kubwa basi watafanya kila mbinu kufanya uhalifu. Uhalifu na umasikini utaongezeka nchini.
Hawa wachina wafukuzwe.
Sasa mbona wao ndio wahalifu wakubwa, Maana Kuuza bidhaa Mara 4 ya wengine ni uhalifu Kwa mlaji.
 
Haya bado ni maneno mengi huna ignoa cost nilizotumia kupata hiyo bidhaa ya 5000 unataka nikuuuzie kwa hiyo hiyo 5000 nini mana ya biashara yaani sioni faida hata nikiuza elfu Saba nani anarudisha cost nilizotumia ?.



Mbona umeficus na kiatu tu vipi kuhusu pikipiki na magari unaonaje gharama ya kuingiza hizo gari na pikipiki? Alafu nikuuzieje?


Mkuu wewe hufahamu bishara, ukiyoa mfano wa nanansi kwani anauza Moja ? Si anayonmengi nanasi lshambani nikichukua kwa 300, mananasi elfu kumi nikqpiga hesabu ya faida ya 200 manake mwisho wa siku MAUZO yawe 500 kwa kila nanasi nauza jumla au kama ninreja auze 1000 n.k humo Kuna pesa ya usafiri, mlulinzi na any expense Sasa unataka nikuuuzie nanasi kwa 300 wakati nomechukua kwa 300 au 500 napata wapi faida?


Ndio mana mteja ndie anaamua na muuzaji ana maamuzi kwahiyo usifeve mteja zaidi angalia na muuzaji


Hata hizo bidhaa za 3000 mapambo pale mall wanauza bei hiyo china ni shilingi 50 mpaka 200

Unapoteza muda wako mkuu.

Usisumbuane nae.

Huyo ni idealist. Huwa anaandika paragraphs ndefu ila hamna kitu ndani.

Box tupu!
 
Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...

Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa sana wakiuza jumla.

Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa Kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.

Cadet za kiume jeans wanauza 20,000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.

Wafanyabiashara wa China wameanza kuonesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
WaKinga unafikiri wanajenga vipi maghorofa? Akina Fred Vunja bei ndio zao
 
Wizo mwaka huu andaa shamba tulime.

Wachina wamevamia machimbo yetu.
Alokwambia hatulimi nani shemu,

Nshawaambia mje kununua chakula Cha samaki vipo hamtaki kuja ttzo ni kuona wenzenu waanguke mfanye sherehe 😂

Tena Kuna wapuuzi badala ya kuhangaikia matumbo yao wapate kupishana chooni kutwa kuhangaika na watu wa kariakoo,

Huko Woolworth, home city mbn watu hawalii chagua unapoona panafaa, over
 
Zinaitwaje?
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom