Kesi hiyo inaendelea kueleza:

“Kampuni ya Marekani, iliyojengwa katika misingi ya uhuru wa kujieleza unaolindwa na sheria za Marekani, ilichagua mapato yake nchini Tanzania badala ya haki za binadamu, uhuru na demokrasia.”
Aminaa Ted Cruz hapa ndipo wanagongelea msumari
 
Mawakili wa Kimambi wanadai Meta ilitoa kile ambacho Tanzania haikuweza kupata yenyewe — yaani kumyamazisha — kwa kufunga akaunti zake duniani kote, baada ya serikali kudaiwa kutishia kuzuia majukwaa ya kampuni hiyo nchini Tanzania.
Hizi shutuma Mange atazithibitisha vipi? Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…