Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,252
- 9,559
hizo shule ni za kata nazijua sana binti yangu na hata iweje watoto wangu hawawezi kusoma huko sitaki wawe vilaza kama weweMpaka wajukuu wa wajukuu zako HAWAWEZI kukanyaga huko kwa maana vilaza hawasomi huko.
Bila shaka wewe ni miongoni mwalio mwaga za damu za WatanganyikaMange HAWEZI kushinda hii kesi. Na asipokuwa makini atajikuta yeye ndio anabembeleza kuifuta. Kifupi, ameshauriwa vibaya kufungua kesi! Subiri muone!
Usingelikuwa kilaza usingeliozesha watoto wako baada ya Kumaliza la Saba. Hata Sekondari hawazijui! Ahahahahaha!!hizo shule ni za kata nazijua sana binti yangu na hata iweje watoto wangu hawawezi kusoma huko sitaki wawe vilaza kama wewe
Wanangu hakuna atakaesoma huko eti kahororo🤣🤣🤣Usingelikuwa kilaza usingeliozesha watoto wako baada ya Kumaliza la Saba. Hata Sekondari hawazijui! Ahahahahaha!!
Aisee,Mawakili wa Kimambi wanadai Meta ilitoa kile ambacho Tanzania haikuweza kupata yenyewe — yaani kumyamazisha — kwa kufunga akaunti zake duniani kote..
Mbona simpo, on the face of the record account zimefungwa kwel,i META ndo wana burden ya kujustify kwa nini wamezifungaHizi shutuma Mange atazithibitisha vipi? Ngoja tuone
Njia za MUNGU hszichunguziki maana yeye pekee ndiiye anajua safari ya maisha yetu hapa duniani....mange anaenda kulipwa pesa nyingi Sana baada ya kushinda kesi
Nikisema "NDIO" moyo wako utaburudika?Bila shaka wewe ni miongoni mwalio mwaga za damu za Watanganyika
Watasomaje huko wakati hakuna aliyewahi kusoma Sekondari?Wanangu hakuna atakaesoma huko eti kahororo🤣🤣🤣
Hilo jinga achana nalo mimi niliwahi kuliewesha limejaa kamasi kichwani weka ignore pita kushoto jadili na vichwa timamu mkuuNilidhani una hoja ya kisheria yenye mashiko kumbe na wewe ni wale wale. Sidhani hata kama umekuwa na uwezo wa kusoma na kuelewa kesi inahusu nini.
Kumbe wote mna akili moja angalia mitandao ya meta Facebook Instagram na wassapp ni rahisi sana kuwa na hacked na kufuatiliwa kuliko Twitter na telegram.Nimewaza hivyo pia, META wanawezaje kukurupuka kufungia ACC yake kwa pressure ya serikali tena ya kiafrika, haiingii akilini.
Daa kahororo secondary Bukoba, mtu anajisifia wewe ungesoma Dar es Salaam international Academy si ungetamba nchi nzimaWatasomaje huko wakati hakuna aliyewahi kusoma Sekondari?
Mange Kimambi kaolewa na myahudi, ... na unajua jinsi wayahudi wanavyoogopewa USA!Wao wanafikiri Mange (mzamiajiwa Kibongo) USA ana akili na uelewa kuliko META iliyoanzishwa na kuendeshwa na Wamarekani wenyewe! Ahahahahaha!!!
Hapa umekuwa subjectiveMange HAWEZI kushinda hii kesi. Na asipokuwa makini atajikuta yeye ndio anabembeleza kuifuta. Kifupi, ameshauriwa vibaya kufungua kesi! Subiri muone!
Mbona kesi kibao Meta wameshindwaKwahiyo unafikiri hao META walikurupuka kufunga hizo accounts sio? Kwamba kampuni inaendeshwa na "chawa" sio?
Na ishu ya Uhuru wa kutoa maoni ndio META itatakiwa ku justify as to why waliamua ku block Uhuru wa kujielezaMbona simpo, on the face of the record account zimefungwa kwel,i META ndo wana burden ya kujustify kwa nini wamezifunga
Afadhali mi nimesoma Kahororo na ninajivunia. Wewe umesoma Majohe Sekondari na unaogopa kuitaja badala yake unakimbilia kuitaja shule ambayo wewe na ukoo wako mzima mnaishia kuiona kwa nje tu! Pumbavu!!Daa kahororo secondary Bukoba, mtu anajisifia wewe ungesoma Dar es Salaam international Academy si ungetamba nchi nzima
Ficha ujinga na ushamba wako we kibaka
What a fucking nigga
Na Wamiliki wa META na shareholders wake hakuna mwenye asili ya Uyahudi?Mange Kimambi kaolewa na myahudi, ... na unajua jinsi wayahudi wanavyoogopewa USA!
HII KESI LAZIMA MANGE ANASHINDA, KAMA NSHITAKIWA SIO MYAHUDI!
😅
Hoja zako ni zipi!? Unazijua Sheria za Marekani hasa kuhusiana na uhuru wa kujieleza?Mange HAWEZI kushinda hii kesi. Na asipokuwa makini atajikuta yeye ndio anabembeleza kuifuta. Kifupi, ameshauriwa vibaya kufungua kesi! Subiri muone!
Hakuna kampuni yoyote duniani ambayo iliwahi kushinda kesi zote au kushindwa kesi zote. Ushanfahamu?Mbona kesi kibao Meta wameshindwa
Soma online
Tatizo we kadogoo unatumia utashi wako kufikiri, hutumii evidence na curent information zilizopo kwa sasa
Unakosa ufikiri dogo