Kwa Mungu kila kitu kinawezekana acha kujifanya unajua kila kitu.

Hivi Katiba imetoa maelezo gani kama ikitokea Mungu ameamua kuwachukua Rais wa JMT na makamu wake wote kwa pamoja kwa siku moja?

Tukio kama hili likitokea kikatiba hali inakuaje ndani ya nchi yetu?

Kama inawezekana familia moja kufiwa na watu zaidi ya watatu kwa pamoja na kwa saa moja,au kampuni au taasisi kufiwa na wafanyakazi wake zaidi ya watano kwa pamoja kwa siku moja. Sasa itashindikanaje Rais wa nchi na makamu wake kufa siku moja? Kwani Mungu ndiye apangae.

Yapi maelekezo ya Katiba yetu ya 1977 kama endapo hili likitokea?

Au ndio tutajua siku hiyo hiyo likitokea
Haiwezekani wote wafe kwa pamoja, watakufa kufaje?
 
Hapana huwa haiko hivyo mzee, hawa wanabaki kuwa viongozi wa Mihimili yao, anafuata Waziri mkuu kwani yeye ndo Na.3!

Akifa yeye pia, nipo kifungu kimoja wapo katika Kamati ya usalama wa Taifa-nyeti kabisa..

Kinampa nafasi designated survivor nakupewa nchi. Huyu huwa mbunge wa Kawaida aliye fichwa kwa akili sana, huwa siyo waziri, inakuwaga vigumu sana kumgundua na huwezi kumsikia akiropoka hovyo. Mbuge huyu anakuwa sehemu nyeti ya system pengine miongoni mwa wateule wale 10
Designated survivor hapo ni Spika wa bunge au jaji mkuu.
 
Kwa Mungu kila kitu kinawezekana acha kujifanya unajua kila kitu.

Hivi Katiba imetoa maelezo gani kama ikitokea Mungu ameamua kuwachukua Rais wa JMT na makamu wake wote kwa pamoja kwa siku moja?

Tukio kama hili likitokea kikatiba hali inakuaje ndani ya nchi yetu?

Kama inawezekana familia moja kufiwa na watu zaidi ya watatu kwa pamoja na kwa saa moja,au kampuni au taasisi kufiwa na wafanyakazi wake zaidi ya watano kwa pamoja kwa siku moja. Sasa itashindikanaje Rais wa nchi na makamu wake kufa siku moja? Kwani Mungu ndiye apangae.

Yapi maelekezo ya Katiba yetu ya 1977 kama endapo hili likitokea?

Au ndio tutajua siku hiyo hiyo likitokea
ikitokea ndugai anachukua nchi asubuhi
 
Mkuu

Mpangilio ni huu hapa endapo rais na makamu wake wote hawapo anayetakiwa na katiba kushika madaraka ya rais ni>
1. Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania au kama naye kwa pamoja walivyo rais na makamu hawapo kutokana na ugonjwa, kujiuzulu au kufariki basi anayechukua nafasi ni
2. Jaji mkuu wa mahakama ya rufani ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Angalizo: Msianze kupanga njama OVU

NUKUU katiba 1977 Ibara ya 37

"...(3) Ikitokea kwamba Kiti cha Rais ki wazi kutokana na masharti yaliyomo katika ibara ndogo ya (2) au endapo kiti cha Rais kiwazi kutokana na sababu nyingine yoyote, na endapo Rais atakuwa hayupo katika Jamhuri ya Muungano, kazi na shuhguli za Rais zitatekelezwa na mmoja wapo na wafuatao, kwa kufuata orodha kama ilivyopangwa, yaani-
(a) Makamu wa Rais au kama nafasi yake iwazi au kama naye hayupo au ni mgonjwa; basi.
(b) Spika wa Bunge au, kama nafasi yake iwazi au kama naye hayupo au ni mgonjwa; basi Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
(c) Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano.
(4) Endapo yeyote kati ya watu waliotajwa katika aya ya (b) na (c) za ibara ndogo ya (3) atatekeleza kazi na shughuli za Rais kutokana na sababu kwamba mtu mwingine anayemtangulia katika orodha hiyo hayupo, basi mtu huyo ataacha kutekeleza kazi na shughuli hizo mara tu mtu huyo mwingine anayemtangulia atakaporejea na akashika na kuanza kuteleza kazi na shughuli za Rais...."

Katiba ya ajabu sana imetengenzewa matobo mficho mengi ambayo hayakuonekanamiaka hiyo hadi kizazi cha sasa kimeanza 'testing of its effectiveness'
 
Hapana huwa haiko hivyo mzee, hawa wanabaki kuwa viongozi wa Mihimili yao, anafuata Waziri mkuu kwani yeye ndo Na.3!

Akifa yeye pia, nipo kifungu kimoja wapo katika Kamati ya usalama wa Taifa-nyeti kabisa..

Kinampa nafasi designated survivor nakupewa nchi. Huyu huwa mbunge wa Kawaida aliye fichwa kwa akili sana, huwa siyo waziri, inakuwaga vigumu sana kumgundua na huwezi kumsikia akiropoka hovyo. Mbuge huyu anakuwa sehemu nyeti ya system pengine miongoni mwa wateule wale 10
Soma vizuri Katiba ya Nchi, isome between lines.
 
Mkuu

Mpangilio ni huu hapa endapo rais na makamu wake wote hawapo anayetakiwa na katiba kushika madaraka ya rais ni>
1. Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania au kama naye kwa pamoja walivyo rais na makamu hawapo kutokana na ugonjwa, kujiuzulu au kufariki basi anayechukua nafasi ni
2. Jaji mkuu wa mahakama ya rufani ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Angalizo: Msianze kupanga njama OVU

NUKUU katiba 1977 Ibara ya 37

"...(3) Ikitokea kwamba Kiti cha Rais ki wazi kutokana na masharti yaliyomo katika ibara ndogo ya (2) au endapo kiti cha Rais kiwazi kutokana na sababu nyingine yoyote, na endapo Rais atakuwa hayupo katika Jamhuri ya Muungano, kazi na shuhguli za Rais zitatekelezwa na mmoja wapo na wafuatao, kwa kufuata orodha kama ilivyopangwa, yaani-
(a) Makamu wa Rais au kama nafasi yake iwazi au kama naye hayupo au ni mgonjwa; basi.
(b) Spika wa Bunge au, kama nafasi yake iwazi au kama naye hayupo au ni mgonjwa; basi Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
(c) Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano.
(4) Endapo yeyote kati ya watu waliotajwa katika aya ya (b) na (c) za ibara ndogo ya (3) atatekeleza kazi na shughuli za Rais kutokana na sababu kwamba mtu mwingine anayemtangulia katika orodha hiyo hayupo, basi mtu huyo ataacha kutekeleza kazi na shughuli hizo mara tu mtu huyo mwingine anayemtangulia atakaporejea na akashika na kuanza kuteleza kazi na shughuli za Rais...."

Katiba ya ajabu sana imetengenzewa matobo mficho mengi ambayo hayakuonekanamiaka hiyo hadi kizazi cha sasa kimeanza 'testing of its effectiveness'

..huo ni utaratibu wa zamani.

..utaratibu mpya ni makamu, halafu waziri mkuu.

..mabadiliko hayo yalifanyika wakati wa Rais Mkapa.
 
Tofautisha kati ya swali na uchuro, huo ni uchuro wala si swali.

Mbona hukujiuliza we mwenyewe kuhusu wewe na Mkeo mkifa watoto wako watalelewa na nani?
Huyu jamaa kauliza swali fikirishi sana na sidhan unapotoka na reply km hiyo unalenga kuelewekaje. Nadhan si kila post uingie kucomment hasa pale unapokosa interest ya post husika. Ni juz tu,tumetoka kupitia hali ambayo hatukuwah kuipitia before ya kuondokewa na kiongoz mkuu wa nchi. Just imagine kusingekuwa na uelewa mzuri wa kikatiba nchi ingekaaje.
Binafs majib ya hili swala yatakuwa yamenisaidia pia. Kufa kupo tu na hakuna ajuaye ya kesho,wataalam wa mambo hya karibun mtujuze!
 
Sema umewaza mbali Sana n ngumu kitu Kama hicho kutokea mungu aepushie mbali
 
Back
Top Bottom