Kwanza nampa pole sana mheshimwa Rais wetu pamoja na familia na watanzania kwa msiba mzito uliotukumba leo.
Swali langu kwa mujib wa dini ya kiislam mke hukaa eda pindi anapofiwa na mumewe. Je katiba yetu itaruhusu Rais wetu akae eda ama itambidi afanyie majukumu yake nyumbani kipindi chote cha...
Katiba inasemaje kama Samia akimteua Makamu wa rais Mwingine baada ya Nchimbi kujiuzulu na Ikatokea Samia kapata changamoto yoyote ya kibinadamu itakayofanya ashindwe kuendelea na majukumu yake na kuacha kiti wazi
Je huyu makamu aliyeteuliwa na akupigiwa kura pamoja na samia j Ataapishwa na kua...
Katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, suala la Rais ambaye ana tatizo la akili linagusiwa chini ya Ibara ya 43. Ibara hii inashughulikia kuhusu uteuzi wa Rais, madaraka yake, na pia inasema jinsi ambavyo endapo Rais atakuwa na hali ya kutoweza kutekeleza majukumu yake kwa sababu ya...
Nadhani Watanzania tumekuwa wazembe sana kuhoji vitu muhimu. Tunashindwa kuhoji hasa kuhusu akina Bashungwa, Bashe na wengine kuendelea na majukumu ya Uaziri na huku Bunge limevunjwa. Sheria inasemaje nafasi ya Uaziri pindi Bunge linapovunjwa.
Habari za kazi ndugu wadau. Napenda kuuliza hivi Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu wajumbe wa nyumba kumi au mabalozi.
Maana wanateuliwa na CCM kuongoza wananchii. Balozi CCM, Mwenyekiti CCM, diwani CCM, mbunge CCM mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, wote CCM, mtendaji kata CCM, Katibu tarafa CCM...
Viongozi wakuu wa serikali mafao yao huwa ni 80% ya mshahara wa viongozi walio madarakani.
Swali langu:
Viongozi walioshika nafasi za juu kwenye pande tofauti za muungano yaani Zanzibar na Tanzania bara wanachukua pension mara mbili.
Mfano Shein amekuwa makamu wa Rais Tanzania na Rais wa...
Kwa Mungu kila kitu kinawezekana acha kujifanya unajua kila kitu.
Hivi Katiba imetoa maelezo gani kama ikitokea Mungu ameamua kuwachukua Rais wa JMT na makamu wake wote kwa pamoja kwa siku moja?
Tukio kama hili likitokea kikatiba hali inakuaje ndani ya nchi yetu?
Kama inawezekana familia moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.