Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

tatizo hapa ni kwamba waislamu wengi hawana elimu dunia..then hawana ajira, ndo maana shughuli wanayofanya ni vurugu tu hakuna jipya wakati ndugu zao wakristo wanakaza bidii kuimarisha nchi...kwa kweli ukilaza wa huyu kiongozi wa nchi unatupeleka pabaya...ameshindwa tengeneza ajira sasa matatizo lukuki..
 
who have taken a time to pray for this? it is you and me to do so instead of just sitting infront of our PCs and posting our emotions and not on what we are ought to do....

May God have mercy and bless Tanganyika and Zanzibar
 
mi naona walikuwa wanatafuta sababu thus why wakamtuma mtoto wao amshawishi mwenzao, kama kosa ni kukojolea si walitoa adhabu mbagala inatosha? jamani kila ijumaa ni wasiwasi tu, napendekeza tusiite ijumaa tuiite wasiwasi day

mtoto wa kiislamu atafutwe naye akojelee bibilia labda wataridhika.
Hii ni hatari sana.
 
amri imetoka kwa watu.imesahau kuwa nchi hii ni ya kidemokrasia,na demokrasia ni serikali ya watu iliyoundwa na watu kwa ajili ya watu?na pia umesahau kua jeshi letu ni jeshi la wananchi?

Kazi ya JWTZ ni kulinda mipaka. Au nchi imepinduliwa, tujue moja
 
Kova maneno mengi polisi wake wamezidiwa nguvu mpaka wameita wanajeshi.

Afadhali Leo umekubali kuwa umma una nguvu kuliko majeshi yote dunian siungi mkono uvunjifu wa amani bali nafurahia leo umekuwa muelewa zaidi..pole pole tutafika
 
JWTZ.jpg Picha kwa hisani ya Mdau huko facebook
 
Nchi imeishachafuka sasa sio kutembea kijinga lazima utembee na kitendea kazi kiuononi kwa ajili ya kujilinda.

magamba mmlea hii mimba mpaka inataka kuzaa mtoto ndo mnagutuka! Acheni kuogopa kulea mtoto maana mimba hamkuona usumbufu!
 
Mkulu kapita nje ya ofisi yetu, anaelekea magogoni! I hope kaleta tende na halua! Puuuuuuuuuu!


au ndio anaenda kupokea maandamano?
awe makini na yeye asichomewe ndani tu
 
Kazi ya JWTZ ni kulinda mipaka. Au nchi imepinduliwa, tujue moja
na kulinda amani ya nchi,kurudisha hali ya utulivu kunapokuwa na fujo nakusaidia kwenye maafa.tembelea web-page yao ujisomee shekhe wangu.
 
asubuhi nilisema kama kova kashindwa kazi kwanini asiombe msaada kwa mwamunyange? ndicho kilichotokea, asante Yehova.
 
wadau mliopo eneo la tukio, endeleeni kutujuza kinachoendelea huko. hv ni kweli askari 1 na raia 4 wamekufa?
 
Aliyeyaaanzisha haya ya udini kwa sasa anakula kuku Oman uaneni sana sijui mtasingizia mnaonewa? kiongozi wa nchi ni mchamba wima mwenzenu........

tulitahadharisha na kuonya lakini kwasababu ilikua project ya watawala,hawakusikiliza wala kuchukua hatua! acha tuchinjane na kuuana,tumezidi kuishi kama nyumbu!
 
Mi nadhani ingependeza hawa wajeda wangenyoosha goti moja kwa moja hadi magogoni wakamtoe huyo bwegenazi dhaifu kwa kuwa amekuwa akiyafumbia macho na mdomo haya matukio mpaka tumefika hapa.
 
Back
Top Bottom