Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

mabomu na risasi ni za waislam na Chadema na CUF na sio CCM na wakiristo wa tz hii. haya matukio ya risasi ni kwa makundi haya tu. CCM na wakiristo wanakula bata
mkuu tumia akili kufikiri na kutofautisha mambo, kwan ccm ni akina nani (ie waislam au wakristo?) chadema/cuf,

ujinga wenu ndo unakupelekeen huko.
bora ukose mali uwe na akili
 
Serikali ya ccm walidhani propaganda za udini na ukabila zinawasaidia. Watoke nje sasa na wapite mitaani wayaone. Kama wana akili watafute agenda mpya 2015 lakini sijui kama wanaweza kuzipata maana wana maswali mengi ya kuulizwa na wao wanapenda zaidi takwimu za uongo zisizo na uhalisia
 
Ndugu Ritz , wewe unafanya kazi gani? au ndiyo unaratibu hayo maandamano, kwani kila point ya jiji upo.
Nipo kwenye gari lakini macho yangu yamepatwa na moshi wa mabomu kwa kweli tunapoelekea tusipokuwa makini tutakuwa kama Gaza.
 
Hao wakiamu mpaka yesu ashuke ndo anaweza akawatuliza sio polisi.
Jamani hapa kariakoo maeneo ya Bigborn kuna FFU wa kutosha. baadhi ya askari walikuwa wanashauri watu wafunge maduka. Duh! hawa watu wanataka kuwa na nguvu zaidi ya polisi sasa. Sijaweza kubaki sana kuona kinachojiri kutokana na usalama wangu.
 
mimi nadhani njia pekee ya kamati kuu ya CCM kuunda tume maalum. kuangalia athari ya ubaguzi wa kidini unaosambaa. haiwezekani tabaka moja la kidini linakuwa na sauti kubwa na jengine kuonekana kiroja ndani ya jamii. hii waislam wengi linatuumiza. hata muunde jeshi, muajiri CIA, FBI. tatizo hili halitaondoka.
Haiwezekani Kuna mkataba kati ya kanisa na serekali kutoa fedha za umma kwa ajili yao halafu unataka watu wavumiliane. kama kuvumiliana muanze CCM na CHADEMA . tuanona kila siku chadema wanaandama kupinga uonevu wa polisi na CCM
 
Naomba kutoa angalizo.

Mjadala usibebe dharau kwa waislamu wote maana kuna wengine haya mambo yanatuchukiza jinsi yanavyo kuwa handled kwa taswira ya vurugu ambayo matokeo yake ni kuiharibu amani ya wote (waliomo na wasio kuwemo).

Naamini uislamu hauhimizi vurugu kwenye kukabiliana na mambo ya msingi bali huhimiza busara na hekima kwenye kuitafuta haki ikiwa ni pamoja na kuufanya upendo ushamiri.
 
duh habari zenu jamani...yaani mi naona kama vile utani lakini pale maafa yatakapo tokea ndo tutajuta
 
kila mpenda amani apinge waislam kuwekwa kama wakimbizi tz huku wakirsito wakionekana ndio wenye nchi

huku tunakotaka twende tutafika tu. hii nchi yetu pendwa itajeuzwa solamali. chezea amani wewe?
 
@MR. EBO kikwete siyo tu kafumbia macho mambo ya udini ni yeyendiyo kayapanda akiamini kuwa atakuwa ameimaliza chadema sasa kimenuka..na hapo wakristo hawajajibu..
 
Waislamu ni wakolofi, mnafudishwa vulungu misikitini. FFU Chinga simple mmoja. Na kwa upumbavu huo mnaofanya mtaoneka ni wahamiaje ktk nchi

Kweli wewe pono...
 
Chanzo fake mimi nimetoka Kariakoo sasa hivi jamaa wamepigwa mabomu mpaka ndani ya
msikiti wao na wametawanyika ila baada ya muda wanajikusanya na kuanzisha vurugu,
Lakini wanadhibitiwa vilivyo.

Na hiki wenzetu ndo walikuwa wanakitaka hawajui kuwa vurugu ikizidi haki za binadamu na heshima ya nyumba za ibada huwekwa kando.
 
asubuhi nilisema kama kova kashindwa kazi kwanini asiombe msaada kwa mwamunyange? ndicho kilichotokea, asante Yehova.

dawa ni kuwatendea haki waislam kama vile wakirsito. hata muagize majeshi, waislam na wakiristo hawaishi kambi za jeshi. wanaishi mitaani ambapo majeshi hayafiki hata yakifika yanwezekana yakachelewa kuja siku ya tukio
 
Back
Top Bottom