Kinondoni mabomu yanarindima na helicopter juu inazunguka...

Maarifa

JF-Expert Member
Nov 23, 2006
4,568
2,910
Ninavyoandika Mabomu yanasikika kutoka msikiti wa Mtambani Kinondoni. Barabara ya Kawawa kupitia kinondoni Imefungwa kwa Muda Vijana wa Kamanda Kova wanarusha mabomu huku wengine wako juu wanazunguka. Taharuki ni kubwa hasa kwa wanonunua na kuuza sokoni na wagonjwa kwa Dr Mvungi!! TUTAFIKA ?
 
image10.png
 
mi naona walikuwa wanatafuta sababu thus why wakamtuma mtoto wao amshawishi mwenzao, kama kosa ni kukojolea si walitoa adhabu mbagala inatosha? jamani kila ijumaa ni wasiwasi tu, napendekeza tusiite ijumaa tuiite wasiwasi day
 
aiseeeee nguvu ya umma naona inafanya kazi!
tunisia ilianza hivi hivi!

هؤلاء الناس ليسوا من الأشياء الجيدة لذلك ينبغي التنزانيين زملائي مغادرة البلاد فورا
 
Aliyeyaaanzisha haya ya udini kwa sasa anakula kuku Oman uaneni sana sijui mtasingizia mnaonewa? kiongozi wa nchi ni mchamba wima mwenzenu........
 
Ninavyoandika Mabomu yanasikika kutoka msikiti wa Mtambani Kinondoni. Barabara ya Kawawa kupitia kinondoni Imefungwa kwa Muda Vijana wa Kamanda Kova wanarusha mabomu huku wengine wako juu wanazunguka. Taharuki ni kubwa hasa kwa wanonunua na kuuza sokoni na wagonjwa kwa Dr Mvungi!! TUTAFIKA ?

tutafika????kwan tunakwenda wap????
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom