Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JoyPeace, Oct 19, 2012.

 1. J

  JoyPeace Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vurugu kariakoo..

  Ni habari za kweli mi niko ofisini ila kuna mtu ana spouse wake kampigia simu kuwa hali si shwari, mabumu na vya moto tinatembea huko! Mungu atuepushe na nguvu za shetani hizi! maana hapo hakuna uungu ni shetani mwenyewe!!

  =================
  UPDATES
  =================

  Kwa picha za matukio maeneo mbalimbali fuatilia: Picha: Yaliyojiri Dar na kwingineko leo mchana

  Malori ya Polisi katika picha:
  [​IMG]

  Kipeperushi hiki kimesambazwa maeneo ya Kariakoo na Magomeni kuanzia jana.

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. j

  jakamoyo JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  nipo maeneo ya kurasini, kuna helkopta ya polisi imepita katika anga hili muda huu. Sijui inaelekea wapi?
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkuu piga picha hata kama ni simu ya mchina inatosha kutuhabarisha sisi tulio makorongoni kupata news.
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kwanini usimuulize rubani,,,,,,,kwani helkopta ya polisi kupita hapo jambo la ajabu,,,,,,????
   
 5. R

  Rwechu Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  Funguka zaidi, nini kimesababisha mabom?
   
 6. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waislamu wadhibitiwa inavyoonekana just after massyao walitaka Kwenda square wamedhibitiwa Hali inaanza kurud normal
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mitaa ya Mchikichi, Congo, Msimbazi, Aggrey kute kumenuka.
   
 8. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Guys hamjui shughuli ya mabomu eti,just stay calm jamaa atakuja na story iliyoshiba badae macho yakishapoa lol
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kuna hotel na gest lala tuuuu,,,kesho wikend
   
 10. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Ondoa hiyo XT9 isikusumbue ku-type. hebu tupe nyama kidogo, kimenuka kwa Mtoro tayari au?
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,426
  Likes Received: 22,337
  Trophy Points: 280
  Mambo ya Kariakoo bwana, waweza kukuta ndugu wanagombea maiti
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kumbe mabom yanawaathiri na wasio waislam?????
   
 13. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kule ndiyo kumejazana misukule na mazezeta...!
   
 14. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Afu huku kwetu wakati wa taarifa ya habari saa mbili usiku wanakata umeme.
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  au wametapeliana frem ya kuuza yeboyebo
   
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Naskukuru kwa taarifa mkuu, endelea kutupia updates mpaka hali itakapokuwa shwari.
   
 17. J

  John W. Mlacha Verified User

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Kama kavaa kisuruali pedo asje akajaribu kwani atakula shaba
   
 18. r

  rajoh Senior Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Jamani hapa kariakoo maeneo ya Bigborn kuna FFU wa kutosha. baadhi ya askari walikuwa wanashauri watu wafunge maduka. Duh! hawa watu wanataka kuwa na nguvu zaidi ya polisi sasa. Sijaweza kubaki sana kuona kinachojiri kutokana na usalama wangu.
   
 19. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Lete habari ya uhakika yenye evidence.
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  akamuoneshe na MKEWE,,,,WAMNYOEOFOE NA NYAMA YA MASABURI KIDOOGO
   
Loading...