Mkuu Schlumberger,Hiyo siyo Avatar,ni Signature.
Umetoa judgement isiyo na evidence,ninaonekana SIPO TAYARI KUBADILIKA NA WANAOLETA MABADILIKO CHANYA kivipi?.
Nilichoandika ni quotation za Maaskofu,sijaweka msimamo wangu hapo.
Kama unataka ujue msimamo wangu ni huu,mimi ni mpenda mabadiliko wa hali ya juu,ila siwezi kupenda mabadiliko kwa kuona watu wasio na hatia wakimwaga damu zao.
Imani yangu haipo katika kutetea mauaji au vurugu.Mabadiliko yana njia zake za kufuata.BUSARA inatakiwa ituongoze.
Avatar yangu,ninaielewa na ndio maana nimeiweka.Kama nawewe pia umeielewa usisahau kuwa tunatofautiana katika viwango vya uelewa.SO SINA MPANGO WA KUIBADILISHA NINAIBORESHA.Ninasonga mbele.
Nani katoa amri hiyo? Amiri jeshi mkuu yupo nje
Usiombe watu kufa. maana j2 inawezkana ikawa hatari zaidi. ubaya wenyewe Polisi wetu hawatoshi kulinda makanisa. tuombe iwe salamaMm nasubiri WAMEKUFA WANGAPI ..??? mbona sisikii wameshoot wangapi au wanaigizaaa tu...!!!
Mtu mwenyewe ni CDM
Hapo kwa wenye nyumba ndogo wamepata kisingizio cha kulala nje.kuna hotel na gest lala tuuuu,,,kesho wikend
sasa chanzo ni mimi mwenyewe maana nazishuudia apa gari za jeshi zinakimbiza wajeda eneo la tukio
kwa hiyo MOU ndo imesababisha fujo za uamsho....kweli mkuu. ustaarabu wao umewafanya kufunga Mkataba wa MOU kimya kimya tena kwa manufaa ya kanisa. unadhani katika hali hii nchi itakuwa na amani?
Fikiria sasa siku tukiamua CHEDEMA nchi nzima itakuwaje?Kova maneno mengi polisi wake wamezidiwa nguvu mpaka wameita wanajeshi.
mi naanza kuhisi ni njaa tu na ugumu wa maisha ..............
gatchaamri imetoka kwa watu.imesahau kuwa nchi hii ni ya kidemokrasia,na demokrasia ni serikali ya watu iliyoundwa na watu kwa ajili ya watu?na pia umesahau kua jeshi letu ni jeshi la wananchi?
Sasa huyu kamanda ni belligerent wa upande gani maana hizo zare zake mmh?
Hivi Waislam wanaoudhulumiwa na wa Dar es salaam tu!? au mikoa mingine haina uislamu?