Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba kuna vurugu zinaendelea maeneo ya Kariakoo ambapo baadhi ya Waislamu wanaandamana kuelekea Kidongo Chekundu na polisi wanatumia mabomu ya machozi kuzuia maandamano hayo. Hali imekuwa tete na polisi wamelazimika kutumia helkopta kuzuia vurugu hizo ambazo zinahatarisha amani jijini Dar es Salaam.
 
There are currently 717 users browsing this thread. (200 members and 517 guests) vita isikie kwa mwenzio
 
Mungu atatusikia waja wake. Hatuepushie shariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hivi ni nini hiki........Mi niko Njombe nashangaa haya jamaniiiiii
 
Dah!!!!!!!!! kwa kweli inabidi tuzidi kumuomba Mungu atuepushe mbali. I wish baba wa Taifa angekuwepo maana alikuwa anaogopwa akisema kitu watu wana tii.
 
mabomu na risasi ni za waislam na Chadema na CUF na sio CCM na wakiristo wa tz hii. haya matukio ya risasi ni kwa makundi haya tu. CCM na wakiristo wanakula bata

Toka lini wasomi wakapigwa mabomu?
 
Bora jeshi litwae serikali, tumechoka na Dhaifu, haya ni matokeo ya dhaifu kutokuwa serious!
 
chanzo changu makini kimeniambia polis wamezidiwa kariakoo na sasa wameomba msaada kwa wanajeshi na wanajiandaa kwenda kutuliza ghasia

maeneo ya upanga zimepita gari tatu za jeshi zinaenda kumwaga watu uko zilikua spidi nimeshindwa ata kuchukua picha,jamaa wanaonekana wananjaa ya kuua mana hawajapigana mda mrefu sana

MWAMNYANGE mimi nadhaniungehamia Magogoni hadi hapo nchi itakaporudi katika haliya kawaida. Wewe ndiye unauchungu na nchi hii tofauti na Amiri jeshi anayepalilia vurugu kichini chini. Jakaliange Magogoni mwaya!.
 
Mimi ni Muislam. Kwenye Uislam kuna amani na upendo. Uislam ni dini ya amani. Hawa wanaofanya machafuko kwa kivuli cha Uislam WATUONESHE AYA inayowatuma kufanya hivyo. La sivyo, hawa ni wahuni tu!

safi kaka, ;labda sie twatweza onekana hatujui!!
 
nipo maeneo ya kurasini, kuna helkopta ya polisi imepita katika anga hili muda huu. Sijui inaelekea wapi?
mi niko hapa maeneo ya quality centre na ona kuna misafara mingi ya viongozi sijui ni kina nani?ila inaonekana ni viongozi wanaenda kupanda ndege wakale bata majuu.si unajua weekend!wanaofanya fujo ki mpango wao.
 
Jamani nini kinaendelea? Nipo safari huku njiani miji ninayopita kuna utulivu wa hali ya juu.
 
Imebid nitoroke kazni. Hawa ndugu zetu wataanza kuchoma had nyumba zetu. Maana roho ya wivu imewajaa.
 
Naomba kutoa angalizo.

Mjadala usibebe dharau kwa waislamu wote maana kuna wengine haya mambo yanatuchukiza jinsi yanavyo kuwa handled kwa taswira ya vurugu ambayo matokeo yake ni kuiharibu amani ya wote (waliomo na wasio kuwemo).

Naamini uislamu hauhimizi vurugu kwenye kukabiliana na mambo ya msingi bali huhimiza busara na hekima kwenye kuitafuta haki ikiwa ni pamoja na kuufanya upendo ushamiri.

Mohamedi, ni vizuri watu wakaangalia hii incident kwa uwazi. Hao wanaoleta fujo sio waislam, ni vibaka.period. And given the opportunity hata kama wangekuwa wapagani wangefanya wanayofanya sasa.

Waislam wanatakiwa sasa wa-claim dini yao toka kwa hawa vibaka wanaoitumia kuleta fujo. For too long hii dini imechezewa na hawa semi-illiterates.
 
There are currently 741 users browsing this thread. (411 members and 330 guests) Tuilinde amani yenu kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom