Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 270
mabomu na risasi ni za waislam na Chadema na CUF na sio CCM na wakiristo wa tz hii. haya matukio ya risasi ni kwa makundi haya tu. CCM na wakiristo wanakula bataThis is what we called terrorism
mabomu na risasi ni za waislam na Chadema na CUF na sio CCM na wakiristo wa tz hii. haya matukio ya risasi ni kwa makundi haya tu. CCM na wakiristo wanakula bataThis is what we called terrorism
Mnyika john aliona mbali, tena mbali sana kuwa tumefika hapa tulipo kwa sababu ya..............mate yamenikwama.....UJINGA, UPUUZI na UDHAIFU wa.wa..........kumbe na JK yumo.tena bora waingie wapige sana hawa wajinga wajinga maana washageuza nchi yakwao hii na rais wao mpuuzi
tunakwenda wapi jamani
maeneo ya upanga zimepita gari tatu za jeshi zinaenda kumwaga watu uko zilikua spidi nimeshindwa ata kuchukua picha,jamaa wanaonekana wananjaa ya kuua mana hawajapigana mda mrefu sana
mmmmmhh!!!...thnx kwa matukio. Angalau kuna jitihada zinafanyika kudhibiti hali ya mambo!
Ni kweli kuna dalili za kuzidi maana wanandama kwa mtindo wa kusambaa, sasa polisi inawawia vigumu kuwazibiti.chanzo changu makini kimeniambia polis wamezidiwa kariakoo na sasa wameomba msaada kwa wanajeshi na wanajiandaa kwenda kutuliza ghasia
Technique hii nimeipenda. ipo siku ccm itawaheshimu waislam kama wanawaheshimu wakiristoNi kweli kuna dalili za kuzidi maana wanandama kwa mtindo wa kusambaa, sasa polisi inawawia vigumu kuwazibiti.