Duh, wadau nilipiga picha 4, nimepoteza simu yangu ya samsung niliyopigia picha. namshukuru Mungu nimefika Nyumbani salama.Hali si hali wadau.
Mkuu, kwa sasa tushaanza kuzoea hii hali.
Afu huku kwetu wakati wa taarifa ya habari saa mbili usiku wanakata umeme.
watu wana hamu ya kuonekana kwenye luninga.
Pole sana mkuu.
Nchi imeishachafuka sasa sio kutembea kijinga lazima utembee na kitendea kazi kiuononi kwa ajili ya kujilinda.
Kuna msululu wa vijana wa Mwamunyange unapita hapa mwenge,magari,mabasi yamewekwa pembeni kupisha sijui ndio wanaenda kutia nguvuKama Kova ameshindwa ambeep Mwamunyange tu...utaona kama kipedo kitaonekana mtaani!
Wauawe tu hao Waislam
hali ni tete kkoo ni damu kila mahali, si wamuachie huyo sheikh ponda, nakuleteeni picha za maiti muda si mrefu.