Mkuu upo wapi wewe?
Unamwuliza nani?
kila mpenda amani apinge waislam kuwekwa kama wakimbizi tz huku wakirsito wakionekana ndio wenye nchi
aliyewanyima waislam elimu alikosea sana,haya ndio matunda
Hata kama Amiri Jeshi Mkuu yuko nje, wasaidizi wake wanafanya kazi maana lengo ni kuepusha uvunjifu wa amani na umoja wa kitaifa.
yah! Kwa wale wanaofahamu vizuri kazi za jwtz ni sehemu ya majukumu yao kuingilia case kama hizo wanapokaribishwa.wasiofahamu wacheki majukumu yao kwenye web-site yao.duh. Hii hatari hasa hivi huu si udini tena. Hata jeshi linaingia
Wakritu wa Tanzania ni wastaarabu sana. Nataka kukuambia kama wakritu wangekuwa na akili ya kushikiwa kama waislamu basi baada ya kuchoma yale makanisa ya mbagala, misikiti yote ingekuwa imevunjwa vunjwa kabisa. Lakini kwa ustaarabu wao walikimbia wakati waislam wanapovamia makanisa yao, ili kuepusha shari. Najiuliza, kama kwa kukamatwa sheik Ponda tu, mnahatarisha amani ya nchi kiasi hiki, je wakristu wangevamia misikiti na kuichoma moto kama mlivyofanya ninyi ingekuwaje? Ni dhahiri kwamba ukosefu wa elimu kwa waislam ni tatizo kubwa na kuwa na waislam katika nchi yetu ni mzigo mkubwa maana hamna mchango wowote hata kwenye uchumi wa nchi zaidi ya kututia hasara tu kama mnavyofanya sasa.mimi nadhani CCM wapime upepo. kuwakumbatia wakiristo na kuwafanya ndio wenye tz na kuwadharau waislam wataningamiza tz ccm. sioni mantiki hadi leo ccm na serekali iliwahi kuwahukumu waliochoma moto quran Mwanza badala yake inabase zaidi na kuchomwa moto makanisa. CCM inajenga chuki za watz ambao wote ni ndugu kuonekana kundi moja ndilo lenye mamlaka ya juu na jengine nothing
Halafu mseme tena mfumo kristo wakati dawa mnaitafuta wenyewe...Kova maneno mengi polisi wake wamezidiwa nguvu mpaka wameita wanajeshi.