kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,686
mimi ni muumini mzuri wa dini ya kiislamu lakini uislamu wangu haunifanyi nishindwe kufkikira kwa makini (crtical thinking)nini kinachoendelea hapa dar naomba niweke wazi kwamba sisi waislamu sio watu wa fujo tunapenda amani tofauti na baadhi ya watu ambao sio waislamu wanavyotufikiria juu ya hili na wengine mpk kutukana hali ilipofikia hapa ni sensitive sana na panahitajika maamuzi ya busara sana ili kuweza kusuluhisha hali hii naamini viongozi wa dini ya kiislamu hasa wanaoaminika na kupendwa na waisalamu wakitumiwa vizuri wanaweza kutuliza hali hii,tatizo kubwa linaloawakumba watu ni kushadadia mambo blila ya kujua hasa nini chanzo cha haya yote bila ya kutoa muda katika akili zao kufikiria nini kimetokea,y na nini kinapaswa kifanywe ktk muda husika,najua kwamba kila nchi inasheria zake ambazo inabidi zifuatwe hata kama waislamu wamekosea ktk baadhi ya mambop busara kwanza ingetumika naweza nikakubali kwamba kila nchi inasheria zake na zinabidi zifuatwe lakini kitendo cha kuwapiga watu ni kuongeza chuki kwa watu wengine ambao walikuwa hata hawajui nini kinaendelea busara zitumike ktk kutatua vurugu hizi
waislamu ni watz,wasio waisalamu ni watz,polisi ni watz,nhata wanajeshi pia ni watz wote tunataka amani,tukishadadia kutoka na imani zetu hatutopata suluhu na kuendelea kuwapiga watu ni kupandikiza chuki naa maumivu kwa watu wengiine,
mkuki kwa nguruwe...