Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Haya Wengine wa Lugalo
Morocco JWTZ.JPG
 
MACHO YA DADA FATOU kule the hague yapo hapa, enyi mapolisi , wanajeshi na viongozi wa nchi muwe makini. katika mazingira kama haya, ndipo mtu hukiri kuwa bora hata nisingekuwa kiongizi, kwasababu unaweza ukapata sifa na kupaishwa sana, au unaweza kupata mwiba utakaokusumbua maisha yako yot.e
 
mbo mbo ngafu.

Kwanini radio Iman toja ijumaa tano haipatikani katika mtandao?
 
mabomu na risasi ni za waislam na Chadema na CUF na sio CCM na wakiristo wa tz hii. haya matukio ya risasi ni kwa makundi haya tu. CCM na wakiristo wanakula bata

CCM ni dini gani na Wakristu ni chama gani?Are you a great thinker?
 
Mlivimbiwa sana vichwa walipowaacha muandamane kidongo chekundu/wizara ya mambo ya ndani. Kama mngekuwa na chembe ya busara mngejua watu waliwastahi tu lakini badala yake ndiyo mkajiona mko juu ya sheria. Hii kitu itawarudisha kwenye reality...Nyinyi ni watanzania tu kama watanzania wengine na hakuna aliye juu ya sheria. Sioni kama kuna udini wowote hapo.

umeona ee we waache tu
 
Utakufa na hiyo siku haitotimia. Heshima inaanza kwako wenyewe. Jenga heshma yako utaheshimika. Vurugu, kuchoma makanisa na kuharibu mali hakutowafanya muheshimike milele. Tazama waislamu wavyotenda sehemu mbali mbali dunia ndio utaelewa kuwa hawafai kuheshimika wala kuheshimiwa!
 
its true wakubwa mm nimepishana nazo mwenge zilikuwa zinatoka Lugalo zilikuwa gari tatu za wanajeshi zikiwa zimejaza wajeda kibao na zilikuwa kasi ya ajabu
 
Wakritu wa Tanzania ni wastaarabu sana. Nataka kukuambia kama wakritu wangekuwa na akili ya kushikiwa kama waislamu basi baada ya kuchoma yale makanisa ya mbagala, misikiti yote ingekuwa imevunjwa vunjwa kabisa. Lakini kwa ustaarabu wao walikimbia wakati waislam wanapovamia makanisa yao, ili kuepusha shari. Najiuliza, kama kwa kukamatwa sheik Ponda tu, mnahatarisha amani ya nchi kiasi hiki, je wakristu wangevamia misikiti na kuichoma moto kama mlivyofanya ninyi ingekuwaje? Ni dhahiri kwamba ukosefu wa elimu kwa waislam ni tatizo kubwa na kuwa na waislam katika nchi yetu ni mzigo mkubwa maana hamna mchango wowote hata kwenye uchumi wa nchi zaidi ya kututia hasara tu kama mnavyofanya sasa.
kweli mkuu. ustaarabu wao umewafanya kufunga Mkataba wa MOU kimya kimya tena kwa manufaa ya kanisa. unadhani katika hali hii nchi itakuwa na amani?
 
  • Thanks
Reactions: awp
wanajeshi wamefundishwa kuua tu hawana muda kupoteza
 
mabomu na risasi ni za waislam na Chadema na CUF na sio CCM na wakiristo wa tz hii. haya matukio ya risasi ni kwa makundi haya tu. CCM na wakiristo wanakula bata
wewe ndo umeishiwa kweli. Nani kakuambia ccm ni ya wakristo? Si wewe ulikuwa unasema CHADEMA ni chama cha wakristo? Mbona ccm haohao walishasema CUF ni ya kiislam? Kwani vyama hivyo ni vya kidini? Unamaanisha ccm hakuna waislam? Siamini vinginevyo ufisadi unahusu kuvuruga amani pia na kwa hiyo hao wachoma makanisa ni mafisadi pia, tena terrarists hawana tofauti na Osama wao.
 
There are currently 731 users browsing this thread. (409 members and 322 guests) si mchezo
 
Back
Top Bottom