Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Ni kweli Hizi habari
Nimeongea na ndugu yangu yuko hapo Kariakoo wameambiwa wafunge maduka yao na watafute namna ya kuondoka Vurugu zipo
 
Hizo DCM zinawasubiri wanajeshi au waislam na ni maeneo gani ili tuwajuze wengine kwa sababu za kiusalama kwa wapita njia?
 
Hapa ndipo napotaka kuthibitisha kama kweli ndugu zangu wako tayari kufa ilikutetea imani yao!
 
IMG_2337.jpg

nyngne hii hapa
 

Attachments

  • 598869_363382193745686_1141268279_s.jpg
    598869_363382193745686_1141268279_s.jpg
    5.3 KB · Views: 295
hali ni tete kkoo ni damu kila mahali, si wamuachie huyo sheikh ponda, nakuleteeni picha za maiti muda si mrefu.
Its Human Nature....

Give them a Yard.., They take a Mile...

Dawa ni kushika yoyote atakayeleta fujo na sio kuachia
 
Hiyo amri wameipata wapi wakati amiri jeshi hayupo, au ametuma kwa email na simu...
Aiseee!! Kwhy ndege ya vita ya adui ikiingia kwenye anga letu na rais hayupo, so itaachwa hivi hivi?

Mzee, kuna kitu inaitwa delegated authority,, wanaofahamu wamenielewa
 
mimi nadhani CCM wapime upepo. kuwakumbatia wakiristo na kuwafanya ndio wenye tz na kuwadharau waislam wataningamiza tz ccm. sioni mantiki hadi leo ccm na serekali iliwahi kuwahukumu waliochoma moto quran Mwanza badala yake inabase zaidi na kuchomwa moto makanisa. CCM inajenga chuki za watz ambao wote ni ndugu kuonekana kundi moja ndilo lenye mamlaka ya juu na jengine nothing
 
Back
Top Bottom