Nauliza benchi la ufundi jana walihojiwa baada ya mchezo au kama kawaida yao siku hizi?
Halafu ifikie wakati Bodi ya Ligi na baba yao TFF wawe wakali kidogo. Kitendo cha kugoma kutoa tathmini baada ya mchezo, ni utovu wa adabu kwa wadhamini na wanafamilia wote wa mpira wa miguu.

Na hii iwe kwa timu zote! Ifikie wakati timu zioneshe ukomavu wa fair play! Yaani umefungwa kihalali 😁😁, uwanja hauna maji wala mashimo! πŸ₯΅πŸ₯΅ Refa na Mkuu wa Mkoa hawajapokea fedha zozote zile kutoka GSM! πŸ™„ Sasa iweje ususe 😑😑kuongea na wadhamini wako?
 
Hii video ni ya kutengenezwa tu, Simba Kampuni haiwezi kufungwa na timu ndogo kama Kagera Sugar! Msitukatishe tamaa kwa video za kupikwa vichochoroni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…