FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

MwananchiOG

JF-Expert Member
Apr 4, 2023
641
1,299
Karibuni katika mtanange mwingine wa NBC Premier League kati ya mabingwa watetezi Young Africans SC dhidi ya Kagera Sugar FC katika dimba la Estadio de Azam Complex muda wa saa moja kamili usiku

Kikosi cha Young Africans 👇👇👇
IMG_20230411_183611.jpg



▪️Vikosi vinaingia uwanjani hapa
▪️0' Mpira unaanza
▪️03' Mayele anakosa akiwa offside
▪️05' Aziz ki anakosa nafasi ya wazi!
▪️07' Mayele anagonga kichwa mpira unaenda juu anakosa nafasi ya wazi
▪️08' Mpira unatoka anaenda kurusha David charles Luhende
▪️10' Aucho anaachia shuti mpira unaenda nje ya goli
▪️12' TK Master anapaisha na kukosa goli
▪️13' Eric mwijage anatoa mpira nje
▪️14'Mayele anakosa goli
▪️15' Mayele abapiga kichwa tena anakosa goli

▪️16' Freekick baada ya mayele kuchezewa faul
▪️17'Aziz ki anakosa faulo
▪️23' Yanga wanapata kona hapa
▪️25' Datis peter anaokoa baada ya mayele kukosakosa
▪️27' Djuma shaban anachezewa faul hapa
▪️28' Mayele anakosakosa goli
▪️31' Datus peter anaachia kona ila mpira unaenda nje

▫💠Shots on target Yanga 8 Kagera sugar 1
▪️41' Yanga wanapata penalt baada ya mayele kusukumwa
⚽️ 42' GOOOOOOOOOOL Stephane Aziz Ki anapiga penalt maridadi kabisa na kuitanguliza Yanga 1 Kagera sugar 0
▪️45' Zimeongezwa dakika 2
⚽️ 46' GOOOOOOOOOOOOAL Stephane Aziz Ki Mwamba kutoka ougadogou anafunga goli kwa shuti kali sana!
▪️Mpira ni Half time! Yanga 2 Kagera sugar 0
▪️46' Mpira umeanza kwa kasi huki Yanga wakikimbiza
⚽️ 50' GOOOOOOOOOOOOOOAL Fiston Kalala Mayele anatetema Golini!
▪️52' Musonda anakosa goli hapa
▪️55' Yanga wanapata freekick
🔁Anatoka Zawadi Mauya anaingia Mudathir yahya
🔁Anatoka Mayele anaingia Mzinze
58' 🔁Anaingia Kiza anatoka Mwijage

▪️63' Luhende anatoa mpira Yanga wanapata kona
▪️63' Musonda ameomba kubadilishiwa viatu hapa
65'⚠️ Kadi ya njano kwa mchezaji wa Kagera sugar
🔁Anatoka Bakar Nondo Mwamnyeto anaingia Doumbia
🔁Anatoka Farid anaingia Bernad Morrison
▪️67' Aziz Ki anakosakosa free kick kali sana kipa anapangua!
▪️68' Yanga wanapata kona
▪️75'Aziz Ki anapata maumivu ya msuli mpira umesima.a kwa muda
▪️78' Datus Peter anacheza faul
▪️79' Kona ya kwanza kwa Kagera Sugar, Wanakosa
▪️83' Mesha Abraham anaachia shuto linakwenda nje ya mlango
⚽️ 85' GOOOOOOOOOOOAL Super BM3 BERNAD MORRISON Aanaachia mkwaju mrefu unaingoa nyavuni, Yanga 4 kagera 0
87' Mpira umetoka Yanga wanaenda kurusha
▪️89' Penaaaaaaaaaalt! Yanga wanapata penat baada ya Mzize kuchezewa faul
⚽️ 90' GOOOOOOOOOOOOAL! Stephane Aziz Ki mwamba kutoka uogadogou anaweka nyavuni!
▪️Zinaongezwa dakika 2

FULL TIME ; YOUNG AFRICANS 5 - 0 KAGERA SUGAR
 
Karibuni katika mtanange mwingine wa NBC Premier League katika ya mabingwa watetezi Young Africans SC dhidi ya Kagera Sugar katika dimba la Estadio de Azam Complex muda wa saa moja kamili usiku
Kila la kheri mtoto wa young Africans, baba hana nguvu tena. Kataa bahasha ya kaki
 
Kosi la ushindi hili hapaView attachment 2584587
Huyu jamaa angejua kabeba matumaini makubwa ya wana Yanga huku mitandaoni nadhani angejituma kuhakikisha zile sifa wanazompa zinaendana na kitu anachokifanya uwanjani

Kadri siku zinavyoenda tunaona walau Kisinda sasa

Utofauti wake na sawadogo ni kwamba mmoja anacheza dakika 45 na mwingine 20

Wasiopenda ukweli wataniita hater

By the way naziombea timu zote zishinde
 
Huyu jamaa angejua kabeba matumaini makubwa ya wana Yanga huku mitandaoni nadhani angejituma kuhakikisha zile sifa wanazompa zinaendana na kitu anachokifanya uwanjani

Kadri siku zinavyoenda tunaona walau Kisinda sasa

Utofauti wake na sawadogo ni kwamba mmoja anacheza dakika 45 na mwingine 20

Wasiopenda ukweli wataniita hater

By the way naziombea timu zote zishinde
Sawadogo na kisinda kweli hamna kitu, huyu kisinda sijui kala vitu gan,nikikumbuka alivyomtesa onyango nashangaa sana alivyo sasa
 
Back
Top Bottom