Nauliza benchi la ufundi jana walihojiwa baada ya mchezo au kama kawaida yao siku hizi?
Halafu ifikie wakati Bodi ya Ligi na baba yao TFF wawe wakali kidogo. Kitendo cha kugoma kutoa tathmini baada ya mchezo, ni utovu wa adabu kwa wadhamini na wanafamilia wote wa mpira wa miguu.

Na hii iwe kwa timu zote! Ifikie wakati timu zioneshe ukomavu wa fair play! Yaani umefungwa kihalali 😁😁, uwanja hauna maji wala mashimo! 🥵🥵 Refa na Mkuu wa Mkoa hawajapokea fedha zozote zile kutoka GSM! 🙄 Sasa iweje ususe 😡😡kuongea na wadhamini wako?
 
IMG-20220127-WA0001.jpg
 
NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC.

Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki?
Mechi hi itaruka mubashara Hapa Hapa JF

UPDATE

Mpira Umeshaanza hapa Dimba La Kaitaba.

17” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

20” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

25” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

32” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

40” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

45” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

HALF TIME 0 0

Kipindi cha Pili kimeanza

50” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

55” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

60” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

68” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

70” KAGERA 1 SC 0

Simba Wanafanya Mabadiriko

77” Yusuph Mhilu na Bocco Wanaingia

82” Kagera Sugar 1 Simba Sc 0

FT KAGERA SUGAR 1 SIMBA SC 0

VIDEO: GOLI PEKEE LA USHINDI KAGERA SUGAR
View attachment 2097107
Hii video ni ya kutengenezwa tu, Simba Kampuni haiwezi kufungwa na timu ndogo kama Kagera Sugar! Msitukatishe tamaa kwa video za kupikwa vichochoroni.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom