GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,553
- 108,889
Kuna 'mambo' yanakera na hayavumiliki.Popoma Punguza povu kwanza, unatweta kama unakimbia operesheni kimbunga, mkiendelea kusumbua tutaitisha operesheni Kimbunga version 2 tuwarudishe tena kwenu. Hebu kunywa maji kidogo utulize munkari maana naona una hasira kali kama kikosi cha mauaji cha Kagame.