Kagame hakuja msibani kumzika rais wetu, na alikaa miezi siku nyingi sana kabla hajatupa pole, Rais Samia unakwenda Rwanda kufanya nini?

Poisonous

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,477
2,000
Popoma Punguza povu kwanza, unatweta kama unakimbia operesheni kimbunga, mkiendelea kusumbua tutaitisha operesheni Kimbunga version 2 tuwarudishe tena kwenu. Hebu kunywa maji kidogo utulize munkari maana naona una hasira kali kama kikosi cha mauaji cha Kagame.
Kuna 'mambo' yanakera na hayavumiliki.
 
othuman dan fodio

JF-Expert Member
Jan 2, 2018
2,659
2,000
Nchi yetu ilifikwa na msiba wa kufiwa na rais, baada ya kufiwa immediately tulipokea salamu za rambirambi kutoka kwa maraisi wa jumuia ya Afrika mashariki akiwemo mzee Museveni, Rais Kenyata, Rais Ndaishimiye, Lakini Kagame ilimchukua siku nyingi sana takriban miezi miwili kabla ya kuwapa pole Watanzania
Rais Kenyata alikuja nchini kuhani Msiba, Mzee Museveni alihani msiba huko kwao na tuliona picha zake, Lakini Kagame alikuwa Mkavu bila hata kuonyesha feelings zozote hata za kuzugia kipindi hicho.

Sasa swali ninalopenda kumuuliza Samia, Unakwenda Rwanda kipindi hiki kufanya nini?
Huyu Kagame ambaye hakututakia hata salamu ya rambirambi kwa wakati ndiye Kagame yuleyule aliyemtishia maisha rais wetu mwingine aliyetutangulia. Sasa unakwenda huko kufanya nini kwa sasa?.

Ninafahamu tuna ishu za kibiashara na hiyo nchi naam hayo ni mambo ya msingi, na yako palepale, lakini Je kwa nini sisi tusionyeshe kukasirishwa na kutoheshimiwa kidiplomasia na Kagame baada ya kufiwa na rais wetu?
We chawa wa magu

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,364
2,000
Inasemekana kagame alimwingiza chaka mwenda zake kwenye tanzanite alizokwapua kwa Yule mchimbaji mkubwa ndo maana urafiki uliisha ghafla.
 
Poisonous

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,477
2,000
Inasemekana kagame alimwingiza chaka mwenda zake kwenye tanzanite alizokwapua kwa Yule mchimbaji mkubwa ndo maana urafiki uliisha ghafla.
This is exactly the continuation of 'Foolishness' from few of you who are also known as 'Swahili Intellectuals' on different Social Platforms and in our Society as well.
 
Malcolm X5

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
1,506
2,000
1:Huyo Mama aka Eagle1 anamchora tu Pk,
2:Ana details zote za Huyo jamaa,Mpaka anaenda Rwanda,na Pk anajua hilo.
3:Kuna kitu alikiongea kwenye kusaini sijui mkongo Alafu mko mbele kitu gani,Pk mwenyewe anaelewa kilichomaanishwa,
4:Tz ni taifa kubwa sana EA,na Watawala wote wanalijua hilo,wanachostaajabishwa ni namna intelligence zetu zinavyofanya kazi.
 
Another Fool. Hivi ni nani alikuambia kuwa Rais Paul Kagame nae haijui 'System' ya Tanzania tena ndani nje kwani Yeye pamoja na aliyekuwa Raia wa Congo DR ( Hayati Laurent Desire Kabila ) Tanzania akijulikana kama Baba Simwale walishawahi kuwa sehemu yake Awamu za Mwalimu Nyerere na Mzee Mwinyi?

Kama ambavyo Tanzania mmepandikiza Majasusi ( Manjagu ) wenu huko Rwanda ndiyo hivyo Rwanda nao wamepandikiza wao Kwenu Tanzania tena wao sasa wakiwa Wamejazana katika Sekta ( Idara ) zenu muhimu za Ulinzi na Usalama achilia mbali pale TPA na TRA ambako wamejazana wengi tu.

Endeleeni Kujitutumua tu Kipumbavu.
 
kina kirefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
3,697
2,000
Kagame is so much cunning and wicked in his own ways. He has a very strange annoying character. Pure mercilessly capitalist. He is a self centered brutal autocratic dictator.
ndo nn umeandika unaficha nn hata kufata huku bana
 
babylata

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
3,554
2,000
Samia mbangaizaji tu show off tu Rwanda nchi masikini zaidi Afrika Mashariki amefuata nini kama sio kwenda kusomea kesi ya udikteta amuulize mwendazake alivyotendwa na shetani kagame muuaji mkuu
 
My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,659
2,000
Nchi yetu ilifikwa na msiba wa kufiwa na rais, baada ya kufiwa immediately tulipokea salamu za rambirambi kutoka kwa maraisi wa jumuia ya Afrika mashariki akiwemo mzee Museveni, Rais Kenyata, Rais Ndaishimiye, Lakini Kagame ilimchukua siku nyingi sana takriban miezi miwili kabla ya kuwapa pole Watanzania
Rais Kenyata alikuja nchini kuhani Msiba, Mzee Museveni alihani msiba huko kwao na tuliona picha zake, Lakini Kagame alikuwa Mkavu bila hata kuonyesha feelings zozote hata za kuzugia kipindi hicho.

Sasa swali ninalopenda kumuuliza Samia, Unakwenda Rwanda kipindi hiki kufanya nini?
Huyu Kagame ambaye hakututakia hata salamu ya rambirambi kwa wakati ndiye Kagame yuleyule aliyemtishia maisha rais wetu mwingine aliyetutangulia. Sasa unakwenda huko kufanya nini kwa sasa?.

Ninafahamu tuna ishu za kibiashara na hiyo nchi naam hayo ni mambo ya msingi, na yako palepale, lakini Je kwa nini sisi tusionyeshe kukasirishwa na kutoheshimiwa kidiplomasia na Kagame baada ya kufiwa na rais wetu?
Mkuu, CCM haina viongozi,bali uchafu mtupu,na wala TISS haina nguvu Kama enzi za Nyerere na Mkapa, ndo maana huyo mama anakwenda Rwanda Kama juha bila hata tafakuri
 
Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
11,919
2,000
Tuliuziwa mbuzi kwenye gunia kivipi?watanzania hamna shukrani kwa mungu
Shukrani gani?
Ana tofsuti gani na mwendazake?
Tutashukuru kwa wema na sio huu upumbavu unaofanyika, tozo, kubambikizia kesi, kuongeza ushuru kwa bidhaa muhimu ilhali uchumi ni mbovu.
Kodi ni muhimu lkn sio hii ya kukamuana hadi kinyesi...hajui atakalo
 
Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
11,919
2,000
Inanibidi niyaseme haya kwenye mada hii kuhusu mleta mada:

Umekuwa mzalendo kuliko nilivyowahi kukusoma hapa JF. Kuna kitu gani kimebadilika?

Nauliza hivi kwa moyo safi kabisa bila ya hiana yoyote moyoni mwangu; kwani maslahi ya Tanzania mbele ya jambo jingine lolote ndiyo lengo la waTanzania (wote?)

Naunga mkono hoja yako.

"Maza Mizinguo" ana kazi kubwa sana ya kunyoosha "learning curve" yake kuhusu haya mambo. Inaonekana hata huko ndani ya Ikulu yake, kama ushahidi unavyoonyesha waziwazi, kuna upungufu mkubwa sana wa utambuzi wa mambo yanayohusu maslahi ya nchi hii.

Hii inadhihirisha kwamba taifa letu kwa sasa hivi tupo uchi wa mnyama.
Huyu ni mbovu kuliko marais wote
 
Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
11,919
2,000
Mkuu, wajitahidi sana kuwasilisha mawazo ila hii imekaa kushoto zaidi.

Kwa mfano we hapo jiulize kwanini PK hakuja , yaani ulitegemea PK aruke angani wakati ule?

Halafu wafahamu pale Kigali ni refuge point?

Kuna mambo mengi sana yapo nyuma ya pazia hii mada itakuwa yazunguka tu bila kwenda CenterPoint.

Yaani pale penye kiini pale.

Nadhani utanielewa nimetumia codes.
Mmmh kulikuwa na kizuizi gani?
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
17,794
2,000
Kagame is so much cunning and wicked in his own ways. He has a very strange annoying character. Pure mercilessly capitalist. He is a self centered brutal autocratic dictator.
Kuna jamaa alikuwa anamshambulia kama wewe sijui kapotelea wapi ( jokes usije kimbia jukwaa)!
 
maghambo619

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,070
2,000
Nchi yetu ilifikwa na msiba wa kufiwa na rais, baada ya kufiwa immediately tulipokea salamu za rambirambi kutoka kwa maraisi wa jumuia ya Afrika mashariki akiwemo mzee Museveni, Rais Kenyata, Rais Ndaishimiye, Lakini Kagame ilimchukua siku nyingi sana takriban miezi miwili kabla ya kuwapa pole Watanzania
Rais Kenyata alikuja nchini kuhani Msiba, Mzee Museveni alihani msiba huko kwao na tuliona picha zake, Lakini Kagame alikuwa Mkavu bila hata kuonyesha feelings zozote hata za kuzugia kipindi hicho.

Sasa swali ninalopenda kumuuliza Samia, Unakwenda Rwanda kipindi hiki kufanya nini?
Huyu Kagame ambaye hakututakia hata salamu ya rambirambi kwa wakati ndiye Kagame yuleyule aliyemtishia maisha rais wetu mwingine aliyetutangulia. Sasa unakwenda huko kufanya nini kwa sasa?.

Ninafahamu tuna ishu za kibiashara na hiyo nchi naam hayo ni mambo ya msingi, na yako palepale, lakini Je kwa nini sisi tusionyeshe kukasirishwa na kutoheshimiwa kidiplomasia na Kagame baada ya kufiwa na rais wetu?
Twende taratibu kwanza...
Ameshaacha kuupiga mwingi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom