Kagame hakuja msibani kumzika rais wetu, na alikaa miezi siku nyingi sana kabla hajatupa pole, Rais Samia unakwenda Rwanda kufanya nini?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
53,576
2,000
Nchi yetu ilifikwa na msiba wa kufiwa na rais, baada ya kufiwa immediately tulipokea salamu za rambirambi kutoka kwa maraisi wa jumuia ya Afrika mashariki akiwemo mzee Museveni, Rais Kenyata, Rais Ndaishimiye, Lakini Kagame ilimchukua siku nyingi sana takriban miezi miwili kabla ya kuwapa pole Watanzania
Rais Kenyata alikuja nchini kuhani Msiba, Mzee Museveni alihani msiba huko kwao na tuliona picha zake, Lakini Kagame alikuwa Mkavu bila hata kuonyesha feelings zozote hata za kuzugia kipindi hicho.

Sasa swali ninalopenda kumuuliza Samia, Unakwenda Rwanda kipindi hiki kufanya nini?
Huyu Kagame ambaye hakututakia hata salamu ya rambirambi kwa wakati ndiye Kagame yuleyule aliyemtishia maisha rais wetu mwingine aliyetutangulia. Sasa unakwenda huko kufanya nini kwa sasa?.

Ninafahamu tuna ishu za kibiashara na hiyo nchi naam hayo ni mambo ya msingi, na yako palepale, lakini Je kwa nini sisi tusionyeshe kukasirishwa na kutoheshimiwa kidiplomasia na Kagame baada ya kufiwa na rais wetu?

Maushungi ana penda sana ndege
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
11,786

Labda Kagame mwenyewe naye alikuwa mgonjwa! Kwani kipindi chote hicgho ulimsikia akifanya nini.
 
Gift mzalendo

Senior Member
Dec 13, 2019
128
225
Hoja yako imekaa kibnafsi zaidi, kuliko maslahi mapana ya taifa,
Kwa hiyo wale wote ambao hawakuja msibani tuwaweke kwenye kundi la maadui was taifa?
Mahusiano na mataifa Ni muhimu sana, sio kujifungia tu ndani ,
Kuna uzito mkubwa rais kutembelea mataifa mengine
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,467
2,000
Nchi yetu ilifikwa na msiba wa kufiwa na rais, baada ya kufiwa immediately tulipokea salamu za rambirambi kutoka kwa maraisi wa jumuia ya Afrika mashariki akiwemo mzee Museveni, Rais Kenyata, Rais Ndaishimiye, Lakini Kagame ilimchukua siku nyingi sana takriban miezi miwili kabla ya kuwapa pole Watanzania
Rais Kenyata alikuja nchini kuhani Msiba, Mzee Museveni alihani msiba huko kwao na tuliona picha zake, Lakini Kagame alikuwa Mkavu bila hata kuonyesha feelings zozote hata za kuzugia kipindi hicho.

Sasa swali ninalopenda kumuuliza Samia, Unakwenda Rwanda kipindi hiki kufanya nini?
Huyu Kagame ambaye hakututakia hata salamu ya rambirambi kwa wakati ndiye Kagame yuleyule aliyemtishia maisha rais wetu mwingine aliyetutangulia. Sasa unakwenda huko kufanya nini kwa sasa?.

Ninafahamu tuna ishu za kibiashara na hiyo nchi naam hayo ni mambo ya msingi, na yako palepale, lakini Je kwa nini sisi tusionyeshe kukasirishwa na kutoheshimiwa kidiplomasia na Kagame baada ya kufiwa na rais wetu?
Kenyatta alihudhuria mazishi, hakuja kuhani (Kiswahili kilichozoeleka; kuhani ni kwenda kutoa pole baada ya kuwa mazishi yameishafanyika). Hata leo kwenye hotuba sikumsikia akitoa pole japo Mh Samia yeye alimshukuru kwa kuwa nasi wakati wa msiba pia akawapa pole Wanyarwanda kwa janga na volcano. Rais wetu ni muungwana ngoja atafute fursa za kiuchumi.
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,200
2,000
Yeye anadai kuwa anaenda kudumisha mausiano, sjui hayo , mausiano yalipotea lin....ukwel nikwamba kuna mambo anayoyafata na anayajua yeye na hao anaoshirikiana nao, huko jamuhur ya twitter na viunga vyake, kuna mjuba akadai kuwa mamayenu kaenda kwa jasusi kununua mtambo wa kuhack simu za wabongo machakunaku walio kinyume na utawala dharimu wa huyu mzenjibar......Nothing more she's doing but nonsense
Anataka laana ya Mungu
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
11,786
2,000
Kenyatta alihudhuria mazishi, hakuja kuhani (Kiswahili kilichozoeleka; kuhani ni kwenda kutoa pole baada ya kuwa mazishi yameishafanyika). Hata leo kwenye hotuba sikumsikia akitoa pole japo Mh Samia yeye alimshukuru kwa kuwa nasi wakati wa msiba pia akawapa pole Wanyarwanda kwa janga na volcano. Rais wetu ni muungwana ngoja atafute fursa za kiuchumi.

Kagame alimchukia Magufuli kwa vile aliona anaanza kuzima nyota yaka ya kusifiwa kuwa uongozi wa kuigwa Afrika; akaona watu wanamuongelea Magufuli na Okufo tu badala yake. Kwa hiyo ingawa walianza kama marafiki, siku za mwisho baada ya Magufuli kununua madege, kujenga miundombinu na kusimamia nidhamu serikalini kuliko yeye, akamchukia!
 
Poisonous

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,477
2,000
Nchi yetu ilifikwa na msiba wa kufiwa na rais, baada ya kufiwa immediately tulipokea salamu za rambirambi kutoka kwa maraisi wa jumuia ya Afrika mashariki akiwemo mzee Museveni, Rais Kenyata, Rais Ndaishimiye, Lakini Kagame ilimchukua siku nyingi sana takriban miezi miwili kabla ya kuwapa pole Watanzania
Rais Kenyata alikuja nchini kuhani Msiba, Mzee Museveni alihani msiba huko kwao na tuliona picha zake, Lakini Kagame alikuwa Mkavu bila hata kuonyesha feelings zozote hata za kuzugia kipindi hicho.

Sasa swali ninalopenda kumuuliza Samia, Unakwenda Rwanda kipindi hiki kufanya nini?
Huyu Kagame ambaye hakututakia hata salamu ya rambirambi kwa wakati ndiye Kagame yuleyule aliyemtishia maisha rais wetu mwingine aliyetutangulia. Sasa unakwenda huko kufanya nini kwa sasa?.

Ninafahamu tuna ishu za kibiashara na hiyo nchi naam hayo ni mambo ya msingi, na yako palepale, lakini Je kwa nini sisi tusionyeshe kukasirishwa na kutoheshimiwa kidiplomasia na Kagame baada ya kufiwa na rais wetu?
Ifike muda kama Bangi / Bange mnazovuta huwa zinawadhuru ( hasa Ubongo ) ni bora mziache tu.

Pia ifike muda kama unajijua kabisa umesahau Kunywa Dawa zako za Uwendawazimu kabla ya kuja ( Log In ) hapa JamiiForums basi uwe unazinywa Kwanza.

Na pia ni vyema kama unajijua umezaliwa na Kipaji cha Upumbavu na Masuala ya Kiitifaki ( hasa kwa Marais ) huyajui basi uwe unauliza uelimishwe.

Ni kweli Rais Kagame hakuja Msibani kwa Hayati Rais Dkt. Magufuli ila katika Siku ya Kuagwa Kitaifa pale Mkoani Dodoma aliwakilishwa na Waziri Mkuu wa Rwanda ( kama sijakosea ) pamoja na Balozi wao hapa Tanzania ambaye kwa taarifa yako tu ni kwamba Balozi huyu wa Rwanda alienda Mikoa yote ambayo Mwili ulipelekwa Kuagwa.

Siku ya Mazishi pale Chato Kiitifaki Rwanda na Rais Kagame aliwakilishwa vyema na Balozi ambaye alitoa Salamu mbele ya Hadhira kwa Niaba ya Wanyarwanda na Serikali yao.

Taratibu za Kiitifaki za Viongozi huwa hazijalishi kama Viongozi ni Marafiki ( Maswahiba ) au hapana bali hujumuisha mambo mengi na Kubwa ni la Usalama na 'Current Situation' ya nchi au hata Ratiba za Rais kwani Kifo kwa Binadamu huwa akina Ahadi ( Ratiba ) ila Ratiba za Kiutendaji za Marais huwa zinakiwa 'fixed' na hutenguliwa kwa dharula ya maana iliyo karibu na siyo ya mbali.

Na ulivyo 'very Foolish indeed' leo hii unahoji ni kwanimi Rais Kagame ambaye alikuwa ni 'Swahiba' wa Hayati Rais Dkt. Magufuli hakuja Msibani halafu hujahoji wala Kushangaa ni kwanini Hayati Rais wa Afrika Kusini Nelson Madiba Mandela aliyekuwa 'Rafiki' wa karibu wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nae hakuja Msibani Tanzania.

Mbona hata Rais wa Uganda Mzee Yoweri Kaguta Museveni nae ni Rafiki mkubwa wa Tanzania na hata kwa Hayati Rais Dkt. Magufuli hakuja Msibani wala hujahoji ila 'Utahaira' wako umekutuma tu uhoji la Rais Paul Kagame wa Rwanda?

Hivi baadhi ya Watanzania Wapumbavu ( Mipopoma ) ni nani aliyewajazeni 'Utahaira' wenu huu na Kuwapandikizeni 'Chuki' dhidi ya Rwanda kama nchi, Wanyarwanda kama Raia na Kagame kama Rais?

Mlianza Kuzusha na Kuaminisha Watu kuwa Kikosi cha Ulinzi cha Rais wa Tanzania ( PSU ) kimechukua Walinzi kutoka nchini Rwanda kwa Kagame. Hivi kwa Mtu aliyeiva na anayejua vyema masuala mazima ya Kijasusi ( Intelligence ) hili linawezekana? Ndiyo kuna muda huwa nawadharau sana baadhi ya Watanzania ( ila siyo Wote ) kwakuwa hamna Akili na mmekalia tu Majungu, Umbea na Chuki.

Yaani kuna Mpumbavu Mwenzenu Mmoja ( sasa Mstaafu ) kwa Chuki zake tu binafsi na Uchapakazi na Ujasiri wa Rais Kagame kwa Kuiletea Maendeleo makubwa na ya haraka Rwanda Yeye alichokifanya ni Kueneza 'Propaganda' ya 'Chuki' kwa Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) huku akiwahonga Wahariri wa Habari wa Tanzania waje na 'Agenda Setting Theory' ya Kuisema vibaya Rwanda ili Watanzania baadhi wasiojua 'Kufikiri' waamini.

Baadhi ya Watanzania kuzidi Kuichukia na Kuiandama Rwanda, Wanyarwanda na Rais Paul Kagame ni Kujitafutia tu Dhambi za lazima kwa Mwenyezi Mungu kwani Wanyarwanda kupitia Rais wao wameamua kusahau yaliyopita na Kuijenga vyema nchi yao, Kuchapa Kazi, Kujijenga Kimshikamano, Kupambana na Kudumisha Uzalendo wa Kweli huku wakiachana na Mambo ya Kipuuzi ambayo yangewachelewesha Kufikia Maendeleo makubwa ambayo leo hii wanayo japo waliuwana katika Machafuko ya Halaiki ( Genocide ) ya mwaka 1994 ukiachilia ile ya Kwanza ya 1959.

Dhambi ya Kuichukia Rwanda itawauwa.
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
6,401
2,000
Kagame alimchukia Magufuli kwa vile aliona anaanza kzuima nyota yaka ya kusifiwa kuwa uongozi wa kuigwa Afrika; akaona watu wanamuongelea Magufuli na Okufo tu badala yake. Kwa hiyo ingawa walianza kama marafiki, siku za mwisho baada ya Magufuli kununua madege, kujenga miundombinu na kusimamia nidhamu serikalini kuliko yeye, akamchukia!
😄😄😄 Uchawi upo aisee.
 
wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,307
2,000
Acha mama aende nyie si ndiyo mlikuwa mnasema askari wa Rwanda wanalinda ikulu sijui mataka taka gani.

Sasa kama mama naye anataka waongezeke ama wakiopo waondoke? Tumuache mama.
 
Mulokozijr12

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
2,272
2,000
Linapokuja suala la hawa Wanyarwanda moyo wangu huwa unakuwa baridi sana, Mzee JK ampatie Mama sababu ya Operation Kimbunga.
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,156
2,000
Ifike muda kama Bangi / Bange mnazovuta huwa zinawadhuru ( hasa Ubongo ) ni bora mziache tu.

Pia ifike muda kama unajijua kabisa umesahau Kunywa Dawa zako za Uwendawazimu kabla ya kuja ( Log In ) hapa JamiiForums basi uwe unazinywa Kwanza.

Na pia ni vyema kama unajijua umezaliwa na Kipaji cha Upumbavu na Masuala ya Kiitifaki ( hasa kwa Marais ) huyajui basi uwe unauliza uelimishwe.

Ni kweli Rais Kagame hakuja Msibani kwa Hayati Rais Dkt. Magufuli ila katika Siku ya Kuagwa Kitaifa pale Mkoani Dodoma aliwakilishwa na Waziri Mkuu wa Rwanda ( kama sijakosea ) pamoja na Balozi wao hapa Tanzania ambaye kwa taarifa yako tu ni kwamba Balozi huyu wa Rwanda alienda Mikoa yote ambayo Mwili ulipelekwa Kuagwa.

Siku ya Mazishi pale Chato Kiitifaki Rwanda na Rais Kagame aliwakilishwa vyema na Balozi ambaye alitoa Salamu mbele ya Hadhira kwa Niaba ya Wanyarwanda na Serikali yao.

Taratibu za Kiitifaki za Viongozi huwa hazijalishi kama Viongozi ni Marafiki ( Maswahiba ) au hapana bali hujumuisha mambo mengi na Kubwa ni la Usalama na 'Current Situation' ya nchi au hata Ratiba za Rais kwani Kifo kwa Binadamu huwa akina Ahadi ( Ratiba ) ila Ratiba za Kiutendaji za Marais huwa zinakiwa 'fixed' na hutenguliwa kwa dharula ya maana iliyo karibu na siyo ya mbali.

Na ulivyo 'very Foolish indeed' leo hii unahoji ni kwanimi Rais Kagame ambaye alikuwa ni 'Swahiba' wa Hayati Rais Dkt. Magufuli hakuja Msibani halafu hujahoji wala Kushangaa ni kwanini Hayati Rais wa Afrika Kusini Nelson Madiba Mandela aliyekuwa 'Rafiki' wa karibu wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nae hakuja Msibani Tanzania.

Mbona hata Rais wa Uganda Mzee Yoweri Kaguta Museveni nae ni Rafiki mkubwa wa Tanzania na hata kwa Hayati Rais Dkt. Magufuli hakuja Msibani wala hujahoji ila 'Utahaira' wako umekutuma tu uhoji la Rais Paul Kagame wa Rwanda?

Hivi baadhi ya Watanzania Wapumbavu ( Mipopoma ) ni nani aliyewajazeni 'Utahaira' wenu huu na Kuwapandikizeni 'Chuki' dhidi ya Rwanda kama nchi, Wanyarwanda kama Raia na Kagame kama Rais?

Mlianza Kuzusha na Kuaminisha Watu kuwa Kikosi cha Ulinzi cha Rais wa Tanzania ( PSU ) kimechukua Walinzi kutoka nchini Rwanda kwa Kagame. Hivi kwa Mtu aliyeiva na anayejua vyema masuala mazima ya Kijasusi ( Intelligence ) hili linawezekana? Ndiyo kuna muda huwa nawadharau sana baadhi ya Watanzania ( ila siyo Wote ) kwakuwa hamna Akili na mmekalia tu Majungu, Umbea na Chuki.

Yaani kuna Mpumbavu Mwenzenu Mmoja ( sasa Mstaafu ) kwa Chuki zake tu binafsi na Uchapakazi na Ujasiri wa Rais Kagame kwa Kuiletea Maendeleo makubwa na ya haraka Rwanda Yeye alichokifanya ni Kueneza 'Propaganda' ya 'Chuki' kwa Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) huku akiwahonga Wahariri wa Habari wa Tanzania waje na 'Agenda Setting Theory' ya Kuisema vibaya Rwanda ili Watanzania baadhi wasiojua 'Kufikiri' waamini.

Baadhi ya Watanzania kuzidi Kuichukia na Kuiandama Rwanda, Wanyarwanda na Rais Paul Kagame ni Kujitafutia tu Dhambi za lazima kwa Mwenyezi Mungu kwani Wanyarwanda kupitia Rais wao wameamua kusahau yaliyopita na Kuijenga vyema nchi yao, Kuchapa Kazi, Kujijenga Kimshikamano, Kupambana na Kudumisha Uzalendo wa Kweli huku wakiachana na Mambo ya Kipuuzi ambayo yangewachelewesha Kufikia Maendeleo makubwa ambayo leo hii wanayo japo waliuwana katika Machafuko ya Halaiki ( Genocide ) ya mwaka 1994 ukiachilia ile ya Kwanza ya 1959.

Dhambi ya Kuichukia Rwanda itawauwa.
Popoma Punguza povu kwanza, unatweta kama unakimbia operesheni kimbunga, mkiendelea kusumbua tutaitisha operesheni Kimbunga version 2 tuwarudishe tena kwenu. Hebu kunywa maji kidogo utulize munkari maana naona una hasira kali kama kikosi cha mauaji cha Kagame.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom