Malcolm X5
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 1,628
- 2,719
Kashfa na story za kusadikika,Another Fool. Hivi ni nani alikuambia kuwa Rais Paul Kagame nae haijui 'System' ya Tanzania tena ndani nje kwani Yeye pamoja na aliyekuwa Raia wa Congo DR ( Hayati Laurent Desire Kabila ) Tanzania akijulikana kama Baba Simwale walishawahi kuwa sehemu yake Awamu za Mwalimu Nyerere na Mzee Mwinyi?
Kama ambavyo Tanzania mmepandikiza Majasusi ( Manjagu ) wenu huko Rwanda ndiyo hivyo Rwanda nao wamepandikiza wao Kwenu Tanzania tena wao sasa wakiwa Wamejazana katika Sekta ( Idara ) zenu muhimu za Ulinzi na Usalama achilia mbali pale TPA na TRA ambako wamejazana wengi tu.
Endeleeni Kujitutumua tu
Uliza tu ndugu Uambiwe,na Sababu hata ya kuchelewa kwenda Huko ni hiyo