Julius Mtatiro kushitakiwa kwa uchochezi

Julius Mtatiro kushitakiwa kwa uchochezi

Are these evil actions happening under JK's watch ama mie sijaelewa mada inasemaje ? Is this JK aliyesema ni mvumilivu na hata akawapa ma EPA nafasi ya kulipa pesa kwa muda wao ?Jamani kumkamata Mtatiro kutasaidia kumaliza migogoro vyuoni ? Huyu ni wa Dar na kuna wengine wengi katika vyuo vingine je nako watafanyaje ?

Na ni Mwenyekiti wa AU, na juzi juzi tu alisema Afrika haiwezi kuendelea kuona Viongozi vinganganizi wenye ku-forge matokeo ya uchaguzi.(wanao dumaza democracy)
Inawezekana ni njama za wapinzani ilikumchafulia jina.
 
Are these evil actions happening under JK's watch ama mie sijaelewa mada inasemaje ? Is this JK aliyesema ni mvumilivu na hata akawapa ma EPA nafasi ya kulipa pesa kwa muda wao ?Jamani kumkamata Mtatiro kutasaidia kumaliza migogoro vyuoni ? Huyu ni wa Dar na kuna wengine wengi katika vyuo vingine je nako watafanyaje ?

hawa jamaa walioshikwa wanadhaniwa walikuwa organizers. It is not a new thing, kila baada ya mgomo kuna watu huwa wanashikiliwa kwa muda.
Mtatiro ameshamaliza masomo anasubili graduation ila polisi wanahisi ana connection na political leaders waliokuwa wana fund huo mgomo. mwenye info zaidi aturushie humu
 
Hamna mi naona hakuna chochote ila serikali inaogopa kivuli chake. Kwani wakiwakamata hao basi shida imekwisha chuo kikuu? Jambo hili utokea kila utokeapo mgomo pale UDSM
 
Vyanzo vyangu ndani ya jeshi la Polisi vinaninong'oneza kuwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa TAHLISO Bw. Julius Mtatiro anashikiliwa na Polisi kwa madai ya kuhusika na mgomo wa wanafunzi wa elimu ya juu. Bw. Mtatiro (kwa mujibu wa vyanzo hivyo) amekuwa akihojiwa bila ya kuruhusiwa mwanasheria wake kuwepo na kwa muda wa zaidi ya masaa 24. Tangu jana ambako ka nzi kamekuwa kakifuatilia Bw. Mtatiro amekuwa akihamishwa kutoka kituo kimoja cha POlisi na hatimaye kurundikwa pale Msimbazi ambako Polisi wamekataa mtu yeyote kumuona..

Licha ya kumhoji inadaiwa mbinu za "kulazimisha" zimekuwa zikitumika dhidi yake..

Kama kuna Mwanasheria yeyote natoa wito ajaribu kufika Mzimbazi ili kumwakilisha kwani inaonekana kwa mara nyingine tena kijana huyo anajikuta yuko matatani hasa baada ya serikali pia kumnyima nafasi ya kuwa Mwalimu baada ya kukataa kumpatia kazi licha ya qualifications zote alizonazo na baada ya kuambiwa kuwa hatopatiwa kazi mahali popote Tanzania...

Free Julius Mtatiro NOW!! and Stop the Harrassment![/QUO

odong odwali amepona?maana huyu naye kwa kupenda migomo hajambo tangu alivyonyimwa uraisi wa daruso!
 
Kwa hiyo wanasheria au watu wengine wangejaribu au wameshajaribu kumuona lakini hawakuruhisiwa.

Kivipi...?

asiyejua maana haambiwi maana; kuna watu wengine wanapenda siyo tu kulimiwa, bali pia kuvuniwa, kuwekewa ghalani, kupikiwa, kulishwa na hata kumezewa! Wao wanataka kukaa chini tu wasiinue hata kidole. NImeshafanya nafasi yangu, vingine ni wewe kukosoa tu kama viliiva vizuri, vina moto, chumvi, pilipili.. vinginevyo the alternatives are very clear..
 
...vingine ni wewe kukosoa tu kama viliiva vizuri, vina moto, chumvi, pilipili.. vinginevyo the alternatives are very clear..

Kwa hiyo unakubali kwamba chakula hiki kimeongezwa chumvi kupita kiasi ila hutaki kikosolewe!

This whole JF thing is about kukosoa viongozi. Wafanye tukosoe. It's nothing but kukosoana, kama ulikuwa hujui! Mkuki kwa nguruwe. Kukosoa wengine kutamu. Kukosolewa mchungu.

Unaleta habari kwamba polisi wamelazimisha kuhoji mtu bila kuwepo wakili wake na wakakataa mtu yeyote asimwone.

Halafu hapo unasema mawakili waende Msimbazi kumuona huyu mtu. So, nikasema, nilidhani wamekwenda wakafukuzwa, right ?

Sasa kama bado hakuna wakili aliyeenda huko akafukuzwa utasemaje polisi wamekataa wakili asiwepo ?

Chuzi limezidi chumvi! Asiyependa mchuzi wako akapike wake, unakubali. Thing is, mimi sijajifanya mpishi!!
 
Kwa hiyo unakubali kwamba chakula hiki kimeongezwa chumvi kupita kiasi ila hutaki kikosolowa!

This whole JF thing is about kukosoa viongozi. Wafanye tukosoe. It's nothing but kukosoana, kama ulikuwa hujui! Mkuki kwa nguruwe. Kukosoa wengine kutamu. Kukosolewa mchungu.

Unaleta habari kwamba polisi wamelazimisha kuhoji mtu bila kuwepo wakili wake na wakakataa mtu yeyote asimwone.

Halafu hapo unasema mawakili waende Msimbazi kumuona huyu mtu. So, nikasema, nilidhani wamekwenda wakafukuzwa, right ?

Sasa kama bado hakuna wakili aliyeenda huko akafukuzwa utasemaje polisi wamekataa wakili asiwepo ?

Chuzi limezidi chumvi! Asiyependa mchuzi wako akapike wake, unakubali. Thing is, mimi sijajifanya mpishi!!

Say whaaaaat!?!?!?!? Vipi Dokta Masau?
 
Vyanzo vyangu vinadokeza kuwa kesho saa tano asubuhi (karibu masaa 48 tangu wakamatwe) Jeshi la POlisi litatoa taarifa ya hatima yao. Kuna dalili kuwa watafikishwa mahakamani...
 
Naomba anayefahamu walipo vijana hawa, Katibu Mkuu wa Umoja wa marais wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), Mtatiro Julius na Odwang Odong.

Kuna taarifa kwamba wamekamatwa na wanausalama tokea Jumamosi na hawajulikani wako katika kituo gani ama kama wako salama, yeyote anayejua usalama wao aseme.

Mtatiro yuko Msimbazi polisi lakin anahojiwa central police. Mahojiano yanafanyika ofisini kwa kamanda Mkumbo (Sina uhakika kama ana uhusiano na kitila).

Mimi nimemuona lakini ndugu zake wamenyimwa nafasi ya kumuona.
 
nasikia watafikishwa mahakamani leo? kama siyo mahakamani nadhani Kova atakuwa na mkutano na waandishi wa habari kama saa tano hivi.
 
Ohooooooo! Mauji ya kisirsiri yanataka kuanza tena; nakumbuka miaka ya 1990 wakati wa Mzee Punch na migomo pale UDSM aliyekuwa Rais wa DARUSO somebody Matiku vyombo ya dola vilimfanyia hivyohivyo na baada ya kufukuzwa Chuo haikupita muda mrefu tulisikia kuwa amekufa kwa kujinyonga huko kwao Mara. God forbid yasijirudie hayo.

Sasa kule DUCE na Mkwawa nao watakamatwa? Kainzi hakajatua huko?

Mkuu Ibra, Matiku Matare yuko HAI na ni HEADMASTER kwenye shule moja ya sekondari kule Songea inaitwa BEROYA. Kwa sasa anafanya digrii yake ya Uzamili pale OUT.
 
nasikia watafikishwa mahakamani leo? kama siyo mahakamani nadhani Kova atakuwa na mkutano na waandishi wa habari kama saa tano hivi.

Huu waweza kuwa uonevu mkubwa, kwani siamini kwamba vijana hawa ndio waanzilishi wa mgomo wa vyuo vyote vilivyo goma na kufungwa, vikiwemo vya ardhi, duce, ushirika.

Kama sio uvivu wa kufikiri ni nini? badala waangalie sababu za msingi za migomo hiyo wanakimbilia kuonea watu kwamba ndo waanzilishi?, Hivi mtu hata kama anakubalika kiasi gani aweza washawishi watu wagome pasipo sababu za kueleweka na za msingi?

Wanataka kutuaminisha kwamba vijana wote vyuoni ni ma mbumbu wakiambiwa tugome ni twende tu bila kuona kama lina sababu za msingi?

Wacheni ubabe na kuonea watoto wa wenzenu, timiza wajibu wenu, sikiliza madai ya hao wana vyuo na tumieni hekima kuyatatua badala ya ubabe wa kufunga vyuo na kutafuta mchawi!
 
nasikia watafikishwa mahakamani leo? kama siyo mahakamani nadhani Kova atakuwa na mkutano na waandishi wa habari kama saa tano hivi.

Hivi sasa ni saa nane inakaribia unusu na Kova hajaitisha press conference wala nini. Nimempigia simu kumuuliza anasema hana tarifa ya kukamatwa kwa watu hao
 
Mimi natoa wito kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu wajipange vizuri,watoe deadline ya ya kuhakikisha vyuo vinafunguliwa na masharti yao ya migomo yawe yametekelezwa baada ya muda maalumu

Pili, Huko huko mitaani wajipange kuhakikisha wanafanya maandamano na wajenge hoja za kushinikiza wenzao woote waliokamatwa waachiwe huru

Tatu, Washirikiane na walimu waliogoma kufanya maandamano makubwa ya kudai haki zao kwa pamoja na itakua rahisi kuwavutia makundi mengine ya kijamii .Huku wanafunzai wa shule ambazo walimu wamegoma nao waandamane kudai haki yao ya kufundishwa.Mgomo huo na maandamano yakiendelea siku tatu bila tamko lolote kutoka serikalini basi wabadilishe hoja za migomo na maandamano za kumshinikiza Rais na serikali yake waachie mamlaka na bunge lichukue uongozi.

Nina uhakika hii ndiyo fursa kuu ya mabadiliko,na laana ya tawala za kiimla itakua imewangukia JK,CCM na serikali yake. Hatuko tayari kuona udikteta wa aina hii Tanzania
 
chuo kinaweza kufunguliwa tarehe 24 au 28 mkuu ben ila viongozi wengi wa wanafunzi hao naona wameanza kula mitaa wengine wanabadilisha namba na wanafanya kukamatwa hao wenzao kama siri kubwa sana yaani hawawezi kutoa maoni yao wala kusema chochote
 
Huyo Odong alikamatwa jumamosi pale maeneo ya cafeteria akiwa yupo busy na simu yake, inaonekana wale wat waliokuja kumchukua walikuw ahawamfahamu lakini kuna dada mmoja alikuwa nao na akaenda akamshika bega punde tu wakaja jamaa kama wanne hivi wakamchukua na kutimua naye.... Ila sometimes dogo naye anajitakia mimi sioni kwa nini yeye ajiinvolve kwenye kushinikiza migomo while yeye analipiw ana serikali yake ya UGANDA i mean sioni mantiki ya yeye kujifanya ana uchungu na wanafunzi wa kitanzania kwa kupika migomo kama angekuwa anapika migomo ya kutetea wanafunzi wenzake wanaotoka nje ya Tanzania hapo ningemuona shujaa lakini kwa hili kwa kweli sipo pamoja naye... na nasikia alishafukuzwa KENYA sasa tusishangae hata hapa akafukuzwa kimoja

Kwa kuwa ni kiongozi anawajibika kufanya yale waliomchagua wanata ayafanye. Yeye ni mwakilishi tu Wanafunzi waliomweka madarakani, hayupo kwenye nafasi ile kwa maslahi yake ila maslahi ya umma (wanafunzi). Hili ndo tatizo ambalo WaTz tunalo tunagombe uongozi kwa maslahi binafsi na familia zetu kumbe uongozi wa umma ni kwa maslahi ya umma wenyewe.
 
Nakumbuka mwaka ule Mtatiro alipotaka kugombea Urais wa chuo akapigwa Zengwe la GPA ikabidi Deo ndio apewe nafasi wengi walikua wanasema kuna chama fulani cha siasa kinachokinzana sana na chama kilichopo madarakani kuwa ndio wafadhili wakuu wa migomo iliyokua ikitolewa wakati ule.
Mtatiro akaendelea kushikilia msimamo wake hata wakati mwenzake Deo alipoonekana kulega lega na kurudi nyuma.Nyepesi Nyepesi hiz za kuwa migomo ya chuo inafadhiliwa na vyama vya siasa zinaongezeka siku baada ya siku. Mwenye taarifa zaidi aniondoe kwenye ukungu huu wa nyepesi
 
Inakuwaje Mtatiro anaendela kuwa katibu wa TAHLISO? I mean anaendelea kutambulika kama mwanafunzi wa elimu ya juu hadi baada ya graduation? au tayari ana admission ya graduate studies?
 
Inakuwaje Mtatiro anaendela kuwa katibu wa TAHLISO? I mean anaendelea kutambulika kama mwanafunzi wa elimu ya juu hadi baada ya graduation? au tayari ana admission ya graduate studies?

Wajisikiaje leo wee mwanamke?
 
Back
Top Bottom