Julius Mtatiro kushitakiwa kwa uchochezi

Julius Mtatiro kushitakiwa kwa uchochezi

Wajisikiaje leo wee mwanamke?

Sijambo, wewe je. Kuliko kuharibu hii thread, unaweza niachia ujumbe kama huu kwenye visitor message kule kwenye profile yangu. Kama hiyo ni ngumu basi nitumie private message, okay?
 
Na----tamani Tanzania Mpya Aaaaaaah

Tanzania ambayo kila mtu anapewa haki zake zote za msingi
Tanzania ambayo wafanyakazi wa serikali na wa sekta binafsi wanalipwa mishahara na mafao yao bila bugudha wala kudhulumiwa,
Tanzania ambayo wanafunzi wa level zote wanasoma ktk mazingira mazuri kwa kadiri ya mazingira yao,
Tanzania ambayo haina kiongozi wa serikali anayeiibia serikali na wananchi wake,
Tanzania ambayo haina fisadi wa pesa wala wa mapenzi,
Tanzania ambayo ina ulinzi wa kutosha kiasi ambacho raisi hawezi kuibiwa "laptop" yake,
Tanzania ambayo ina miundo mbinu mizuri na imara,
Tanzania ambayo inatumia maliasili zake kujiendeleza.....

Tanzania ambayo...... Tanzania ambayo

niishie hapa nisije nikalia.

Pole watanania wenzangu wote tunaoibiwa haki zetu za msingi
 
Hivi sasa ni saa nane inakaribia unusu na Kova hajaitisha press conference wala nini. Nimempigia simu kumuuliza anasema hana tarifa ya kukamatwa kwa watu hao

hivi hili Jeshi la Polisi liko vipi? Mpita Njia check ur PM in a second.. halafu njoo unijibu "Kule"...
 
Sijambo, wewe je. Kuliko kuharibu hii thread, unaweza niachia ujumbe kama huu kwenye visitor message kule kwenye profile yangu. Kama hiyo ni ngumu basi nitumie private message, okay?

Okay.............
 
hivi hili Jeshi la Polisi liko vipi? Mpita Njia check ur PM in a second.. halafu njoo unijibu "Kule"...

Mkuu, mbona unajitafutia controversy nyingine za kuepukika kabisa ?

"Kule" wapi, kwenye platform yako ?

Hiyo ni sabotage.
 
Mkuu, mbona unajitafutia controversy nyingine za kuepukika kabisa ?

"Kule" wapi, kwenye platform yako ?

Hiyo ni sabotage.

Inaweza ikawa kule kwenye email, kule kwenye Private message, kule kwenye simu yake ya ofisini au mkononi, kule kwenye yahoo messenger, au kwingine kokote kule. Sio lazima iwe kwenye "platform" yake.....

Sasa kwa kusoma bandiko lako sijui nani anayetafuta "controversy".......

Watu wengine bana......
 
Mkuu, mbona unajitafutia controversy nyingine za kuepukika kabisa ?

"Kule" wapi, kwenye platform yako ?

Hiyo ni sabotage.

mmh.. watu wengine bwana.. ni moto au baridi, ni option moja au nyingine, uchaguzi wa moja au mbili (yaani hakuna tatu, nne, wala tano!). Ungekuwa unajua kuuliza maswali vizuri usingependekeza jibu. Ulitakiwa uishie kwenye "kule" wapi?; lakini once again you practice what you criticize others.. halafu unaenda mbali zaidi "sabotage" kama yule jamaa mwingine! Inasikitisha.

Hapa Nyani amekuonesha jinsi ya kufikiri...

Inaweza ikawa kule kwenye email, kule kwenye Private message, kule kwenye simu yake ya ofisini au mkononi, kule kwenye yahoo messenger, au kwingine kokote kule. Sio lazima iwe kwenye "platform" yake.....

Sasa kwa kusoma bandiko lako sijui nani anayetafuta "controversy".......

Watu wengine bana......

watu wengine wanareacto from emotional reservour not from intellectual honest. Wanapenda kusababisha kimbunga kwenye kikombe cha chai halafu waite mafuriko! Halafu wakionesha makosa yao hawako tayari kusema walivurunda ila wao wako na haraka kuoenesha wengine walivyovurunda. It is sad.

Well, it comes with the territory.
 
Hivi Kuhani ulikuwaje siku hizi.
Kati ya watu walionifanya niweke jina langu hapa JF wewe ni mmoja wao maana ulikuwa unahoja kweli kweli.
Siku hizi........ sijui niseme zimekwisha maana badala ya hoja unazungumzia watu............ umekuwaje?
Si kata issues hapa? mbona kuzungumza habari ya mwanakijiji kila thread? umeishiwa nini mkuu??
 
jamani wengine hatuna tv, radio wala magazeti hayatufikii upesi huku vijijini tulipo, asante mitandao ya simu tunaweza kupata access na internet.

tunaomba kama hao watu wamefikishwa mahakamani mtuambie na sie tupate cha kukiwaza kwani ss hivi ubongo upo blank hauwazi coz Li'Jitu Pateli limeshaachiliwa.

na kama hawajafikishwa basi wapo wapi? je wanafunzi wanasemaje kuhusu kupotea kwao..

asante
 
Kabla ya kuwaza sana, unajua ni kwa nini wamekamatwa? hilo lilikuwa la kwanza kujua kabla ya kutafuta mwanasheria and the like. Sasa hata ukitaka kuwasimamia utaanzia wapi ilihali hujui sababu ya kukamatwa kwao?

Okay, inasemekana mtatiro kakamatwa akihusishwa na mgomo wa wanafunzi, yeye hahesabiki tena kama mwanafunzi, pengine alishapata kazi au ameenroll graduate studies, haijulikani. Hakuna details. Ukiuliza utaambiwa .............
 
kwa kuwa ni kiongozi anawajibika kufanya yale waliomchagua wanata ayafanye. Yeye ni mwakilishi tu wanafunzi waliomweka madarakani, hayupo kwenye nafasi ile kwa maslahi yake ila maslahi ya umma (wanafunzi). Hili ndo tatizo ambalo watz tunalo tunagombe uongozi kwa maslahi binafsi na familia zetu kumbe uongozi wa umma ni kwa maslahi ya umma wenyewe.

ni nani aliyekwambia odong ni kiongozi wa daruso? Hana nafasi yoyote kwa daruso alitaka kugombea uraisi wakampiga chini sasa hivi huyu raisi wa sasa ni mshirika wake mkubwa odong thats why akashinda kwa kura nyingi, hivi umeshasikia kuna mtanzania anagombea kuwa raisi wa wanafunzi kwenye chuo chochote nchini uganda?? Ninachojua mimi watanzania wanagombea vyeo kwenye jumuia zao za kitanzania tu......
 
Jeshi la Polisi linaendelea kumshikilia Julius Mtatiro na habari za ndani zinadokeza kuwa baada ya habari ya kukamatwa kwake kuwekwa hadharani na wenu mtiifu Jeshi la POlisi limepania kutoa funzo. Baada ya kutoa siri kuwa Mtatiro anashikiliiwa kituo cha POlisi Msimbazi, habari za uhakika zinasema kuwa Jeshi hilo linaloongozwa na Said Mwema, na Kanda ya Dar na Suleiman Kova limeanza mtindo wa kumhamisha hamisha ili hatimaye wamfikishe mahakamani.

Vyanzo hivyo vimeithibitishia KLHN kuwa Bw. Mtatiro amekuwa subjected to mental torture ili aweze kukubali kuwa yeye ndiye kinara wa mgomo wa wanafunzi.

"ndiyo, hajalala kwa siku tatu, chakula kimekuwa cha shida, na hata sasa jeshi halitaki kusema wazi kuwa linamshikilia na linamshikilia kwa misingi gani" kilisema chanzo chetu ambacho kiko karibu kabisa na suala hili.

Mipango ya kumfikisha mahakamani imeandaliwa licha ya ukweli kuwa hadi sasa imekuwa ni zaidi ya masaa 48 tangu akamatwe kininja siku ya Jumapili. Habari hizo zinasema kuwa Bw. Mtatiro anashikiliwa kwenye kituo cha Salenda ambapo Mkuu wa Upelelezi wa Kanda ya Dar Bw. Mkumbo akidai kuwa "watatoa funzo" kwa wale wote wanaoeneza migomo.

Juhudi za kumpata msemaji wa Polisi zimeshindikana baada ya simu yake kuita bila kujibiwa.
 
MMwanakijiji
Hiyo ndio inaitwa Polisi Rafiki ya Tanzania. Ni aibu sana kwa ulimwengu wa sasa Jeshi la Polisi kutafuta uhalali kwa mateso
 
Jamani hakuna namna yoyote ya kumnusuru huyu kijana kutoka kwenye mateso hayo
 
Du pole sana Mtatiro!sasa inakuwaje mtamsaidiaje huyu Mtatiro?
 
Kwa nini hawa mafisadi hawakamatwi na kuteswa hivyo wandugu, why wanyonge tu?
 
Kwa nini hawa mafisadi hawakamatwi na kuteswa hivyo wandugu, why wanyonge tu?

thats a very good question.......hivi hakuan wakili aliyejitolea kumsaidia jamani? hii ndhani ni ukiukwaji mkubw akabisa wa katiba na haki za binadamu!
 
Jeshi la Polisi linaendelea kumshikilia Julius Mtatiro na habari za ndani zinadokeza kuwa baada ya habari ya kukamatwa kwake kuwekwa hadharani na wenu mtiifu Jeshi la POlisi limepania kutoa funzo. Baada ya kutoa siri kuwa Mtatiro anashikiliiwa kituo cha POlisi Msimbazi, habari za uhakika zinasema kuwa Jeshi hilo linaloongozwa na Said Mwema, na Kanda ya Dar na Suleiman Kova limeanza mtindo wa kumhamisha hamisha ili hatimaye wamfikishe mahakamani.

Vyanzo hivyo vimeithibitishia KLHN kuwa Bw. Mtatiro amekuwa subjected to mental torture ili aweze kukubali kuwa yeye ndiye kinara wa mgomo wa wanafunzi.

"ndiyo, hajalala kwa siku tatu, chakula kimekuwa cha shida, na hata sasa jeshi halitaki kusema wazi kuwa linamshikilia na linamshikilia kwa misingi gani" kilisema chanzo chetu ambacho kiko karibu kabisa na suala hili.

Mipango ya kumfikisha mahakamani imeandaliwa licha ya ukweli kuwa hadi sasa imekuwa ni zaidi ya masaa 48 tangu akamatwe kininja siku ya Jumapili. Habari hizo zinasema kuwa Bw. Mtatiro anashikiliwa kwenye kituo cha Salenda ambapo Mkuu wa Upelelezi wa Kanda ya Dar Bw. Mkumbo akidai kuwa "watatoa funzo" kwa wale wote wanaoeneza migomo.

Juhudi za kumpata msemaji wa Polisi zimeshindikana baada ya simu yake kuita bila kujibiwa.

Mwanakijiji, hatuwezi kuvumilia ujinga huu katika zama hizi, hizo zilikuwa zama za Mfumo wa Chama Kimoja.

Kwa kuwa uko Majuu jitahidi kuwasiliana na Amnest International, haiwezekani mtu ashilikiliwe siku 3 bila kufikishwa mahakamani na bila kupewa haki ya kumwona Wakili wake. Ni ukiukwaji mkubwa wa haki ya Mwanadamu, we need to shout. Badala ya watawala wetu kupambana kwa hoja sasa wanaanza kuweka watu vizuizini, very unfair.

Mbona Mafisadi wa EPA waliosababisha vifo vya Watoto, Wamama Wajawazito kwa kukosa dawa walifikishwa Mahakamani na hawakuzuiliwa? Shame!
 
Mabavu tena!!!! Basi watachoka sana maana kuna kiongozi EAC, wanafunzI wa shule za misingi wanaoanadaman kudai nauli, mukoba na vyuo vyote vya tz... kazi kwei!!
 
Back
Top Bottom