Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Na mimi leo Mmasai wangu wa home nampandisha cheo kuwa ten star General........ila mshahara uko palepale
Mkuu Lt Gen Ndomba ni senior kwa wote maana yeye aliwatangulia kuukwaa Uluteni Gen, wata salute kwake!!!Phillemon Mikael: Kweli JF ni darasa tosha, maelezo yako hayo yamenifungua hata mimi macho ambaye niliishia tu JKT.
Mimi ninafikiri mambo kama haya inabidi sasa yaandikwe waziwazi kwenye katiba mpya, badala ya kutegemea BUSARA za RAIS kwani mara nyingine busara zinaweza zisiwe busara.
Sasa Ndomba ambaye alikuwa Junior amekuwa Lut. General na COS na hawa akina Makalala na Kisampa walikuwa Senior kwa Ndomba nao wamekuwa Lut. Generals lakini mwenzao ni COS. Je wakikutana nani anapaswa kumpigia mwenzake SALUTE? Watu wengi wanaweza kuona ni swali la kijinga, lakini kwa wale mliopitia JESHINIkidogo you know what SALUTE means to men and women in uniform.
mkuu haya majamaa yametumwa kazi moja tu humu. ni kumtukana na kumlaumu tu JK. siku hizi wala huwa siyafikirii tena na hata ukiyaeleza hayataelewa. yanatembea utadhani yana vichwa sehemu ya juu ya miili yao kumbe ni vifuu vya nazi.Tujaribu kuwa waelewa na wepesi wa kupambanua mambo Jeshini kuna Vyeo na Madaraka pia hata Jeshi la Polisi pia kuna Vyeo na Madaraka kwa mfano Ma RPC karibu wote ni Ma Senior Assisstant Commissioners of Police ingawa wapo wenye nafasi Vyeo chini ya hapo ama juu ya hapo.
Kwa Jeshi la Wanainchi tulikuwa na utaratibu wa kuwa na Luteni Jenerali mmoja tu ambae ndiyo anakuwa ni Afisa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi na Meja Jenerali wengi wanakuwa wakuu wa Vitengo sasa inafika wakati una Meja Jenerali Watano na wote wanastahiki kuwapandisha cheo lakini madaraka wanayotakiwa kuyashika iko nafasi moja kimsingi utaangalia vigezo vingi sana mpaka umpate mmoja ambae utmteua na kumpandisha cheo kushika madaraka husika ila hautatenda haki kama wengine wanaostahili kupandishwa cheo hawatapandishwa cheo, nafasi ya kuwalipa stahiki zao kama ipo basi huna haja ya kuwanyima cheo husika ila madaraka yatabaki kwa mtu mmoja ambae umemteuwa kushika madaraka husika.
Hivi sasa watu wamejenga utaratibu usio rasm wakumbeza Mheshimiwa Raisi kila anapofanya uteuzi mara oohooo hakuzingatia sifa za wateuliwa mara aliowateua hawana elimu stahiki mara amewateua waislam watupu mara ameteua marafiki zake tuu hii imejijenga kuwa tabia miongoni mwetu tena ni tabia mbaya ambayo haina mfano.
Mimi namfahamu sana Luteni Jenerali Makakala mpaka famillia yake karibu yote iliyopo Kijiji cha Ndengere na Mbamba Bay ila miaka ya karibuni Luteni Jenerali huyu amejiunga na Dhehebu la KILOKOLE sasa angeweza kuwa Afisa Mnadhimu Mkuu kabla ya Luteni Jenerali Ndomba ambao wote hawa wanatoka Mkoa wa Ruvuma tena hapo mwanzo walikuwa wanatoka Wilaya moja ya Mbinga kabla ya kutenganishwa na kuwa na Wilaya ya Nyasa ambako Makakala ndiko anakotoka.
Hivyo basi Ulokole wa Makakala ndiyo umempunguzia saifa ya ziada kumbuka Jeshini kuna kitengo cha Ujasusi cha Jeshi[Military Intelligence Unit] ambacho kina kazi ya ziada ya kuwachunguza Maofisa wa Jeshi mienendo yao ya kila siku na kuripoti moja kwa moja kwa Mkuu wa Majeshi hivyo tusilaumu kila uteuzi maana vigezo vingine vinavyotumika ni vigumu kuvitambua. Jeshi ni Taasisi nyeti ambayo inafanya mambo yake kwa utaratibu na tamaduni zinazoeleweka.
Jeshi siyo Chama cha siasa vinginevyo tungekuwa hatuishi kwa amani hapa angalia mifano ya Nchi kama Mali kila siku Jeshi ni kupindua tu Serikali halali ni kwa sababu hawana utaratibu tusilaumu hovyo hovyo!
sielewi kitu hapo kwenye majina ya hayo mavyeo..but i can guess the more mavyeo unapata jeshini the more guns you own
JKT nini na JWTZ nini??:confused2:
Dah mi mwenyewe nimeshindwa kumuelewa mkuu nngu007 alikua ana maana gani. Au MOI(Muhimbili Orthopedic Institute) na MNH(Muhimbili National Hospital) zina tofauti?? Ipi bora?
Kaka Huu ni mwendelezo wa uteuzi za kijikosha.....hawa wawili ndio walikuwa maj generals senior kuliko wote....active Jeshini .....kiutaratibu mmoja wao lazima alikuwa awe chief of staff...na likely ilikuwa awe Makalala...kwa kuwa mbinu ya kawaida ya kumuhamishia senior Riyoba ikulu ...ofisi ya PM...pia ni option pale ambapo unataka kumkwepesha kuwa CoS kwa wakati husika.
kitendo cha Ndomba kurushwa...na kuwaruka hawa...kilileta minongono...miongoni mwa majenerali na senior commenders........naona Mkuu anajikosha at the expense ya kuvuruga utamaduni...ni udhaifu Huu
Sisi wengine ni waajiriwa wa majeshi hato JkT mwajiri wake ni wizara ya ulinzi na jeshi lakujenga taifa katika idara ya mafunzo ya kijeshi na uzalishaji mali ambapo walioajiliwa wana status moja na wa JW kwa maana MT,MTM,P!JW ni idara ya ulinzi wanchi na mipaka yake na wenyewe ni status yao ni MT,MTM,P,JKU wote wapo katika wizara mama wizara ya ulinzi!Sasa unaposema JKT tofauti na JW si kweli course unazosema ni zile za senior leader course wanaenda Iringa,Makongo sitakutajia Kj kwasababu===IMEZUILIWA====!Hivyo wote ni waajiriwa jeshi la ulinzi la tanzania ni idara ndizo zina watenganisha!!Kwa hayo machache ndugu nngu007 utakuwa umenisoma hata ThandaMkuu nngu007 unavyouliza hivyo kuna watu ambao hawana elimu yoyote kuhusu jeshi hivyo utaona wanaanza kukukosoa, bila kujua kuwa JKT ni moja ya components za JWTZ....we subiri tu muda si mrefu utaona.Finally, Hakuna WA JKT... WOTE ni JWTZ!!!
Sisi wengine ni waajiriwa wa majeshi hato JkT mwajiri wake ni wizara ya ulinzi na jeshi lakujenga taifa katika idara ya mafunzo ya kijeshi na uzalishaji mali ambapo walioajiliwa wana status moja na wa JW kwa maana MT,MTM,P!JW ni idara ya ulinzi wanchi na mipaka yake na wenyewe ni status yao ni MT,MTM,P,JKU wote wapo katika wizara mama wizara ya ulinzi!Sasa unaposema JKT tofauti na JW si kweli course unazosema ni zile za senior leader course wanaenda Iringa,Makongo sitakutajia Kj kwasababu===IMEZUILIWA====!Hivyo wote ni waajiriwa jeshi la ulinzi la tanzania ni idara ndizo zina watenganisha!!Kwa hayo machache ndugu nngu007 utakuwa umenisoma hata Thanda
Sisi wengine ni waajiriwa wa majeshi hato JkT mwajiri wake ni wizara ya ulinzi na jeshi lakujenga taifa katika idara ya mafunzo ya kijeshi na uzalishaji mali ambapo walioajiliwa wana status moja na wa JW kwa maana MT,MTM,P!JW ni idara ya ulinzi wanchi na mipaka yake na wenyewe ni status yao ni MT,MTM,P,JKU wote wapo katika wizara mama wizara ya ulinzi!Sasa unaposema JKT tofauti na JW si kweli course unazosema ni zile za senior leader course wanaenda Iringa,Makongo sitakutajia Kj kwasababu===IMEZUILIWA====!Hivyo wote ni waajiriwa jeshi la ulinzi la tanzania ni idara ndizo zina watenganisha!!Kwa hayo machache ndugu nngu007 utakuwa umenisoma hata Thanda
Mkuu wewe unaishi nchi gani nisije nikawa na bishana na mtu anaishi algeria asiyejua nini mahudhi!!Hivi kweli unathubutu kusema,Mwajiri wa MAGEREZA na MGAMBO ni WIZARA ya ULINZI,??Nakusaidia Mgambo hawana wizara wapo wizara ya ulinzi kama jeshi la akiba kwakuwa hawalipwi mshahara hivyo si waajiriwa wawizara ya ulinzi ila wakati wa operation mambo yao ushughulikiwa na wizara ya ulinzi!1Magereza wao wameajiriwa na wizara ya mambo ndani ya nchi pamoja na Polisi,Immigration mpaka hapo utakuwa uko na mimi!!Swali????Mwajiri wa MAGEREZA na MGAMBO ni WIZARA ya ULINZI lakini Woote wanapewa MAFUNZO tofauti; Nakumbuka kuwa MAOFISA wa JKT MFANO MAJOR kozi anazokwenda sio sawa na kozi anazokwenda MAJOR JWTZ pamoja na kuwa MWAJIRI ni MMOJA...
Mwajiri wa MAGEREZA na MGAMBO ni WIZARA ya ULINZI lakini Woote wanapewa MAFUNZO tofauti; Nakumbuka kuwa MAOFISA wa JKT MFANO MAJOR kozi anazokwenda sio sawa na kozi anazokwenda MAJOR JWTZ pamoja na kuwa MWAJIRI ni MMOJA...