Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,536
kama wala hata hataki kujiita wala kuitwa kwa vyeo vya kijeshi ila watu wanamlaumu kuwa dikteta,sasa akiitwa kwa vyeo vya kijeshi,utasikia,hatutaki utawala wa kijeshi sie! mwanadamu anaisha maneno?Yeye atapandishwa cheo lini kutoka kwenye uluteni kanali wake ambao hata hivyo huwa hapendi kuutumia zaidi ya udaktari wa kuchakachuliwa na kupewa?