JK awapandisha vyeo majenerali

JK awapandisha vyeo majenerali

Aliyepanda kwanza ndiye senior. Hawa wa juzi itabidi waendelee kumpigia salute kwa kuwa walishaanza kufanya hivo. Muhimu kuelewa ni AmiriJeshi Mkuu hakukosea kumpandisha Ndomba

mi nakubaliana nawe kuwa kwa ndomba hakukosea. jamani jeshi sio chama cha siasa kinachohitajika utendaji. mimi nilitegemea tutamsifia jk alifanya vizuri bila kuangalia seniority na kuzingatia utendaji zaidi. i wish all of them
 
Ngongo

Yeah kwa SASA... Lakini HAWA VIONGOZI waliopo MADARAKANI wa JKT hawakupitia hayo MAFUNZO ya Wa JWTZ; Then walikuwa wanayakimbia na kuruka hayo MAJUKUMU

Mwamafunzi wewe huelewi?

Tumesema hakuna afisa yeyote hata Askari wa JKT ambaye hajapita Mafunzo ya JW....vyuo Vya JKT vinatoa Mafunzo ya ziada tu juu ya uzalishaji Mali na malezi ili Askari na maafisa waweze kuwaafunza vijana......ambao nao wakimaliza wengine huajiriwa tena Jeshini na kupelekwa JW kwa Mafunzo RTC,,,,,na wengine vyuo Vya usalama,polisi,magereza,zimamoto etc....wanaobakii hurudi mitaani kujiajiri kwani tayari wanakuwa na fani Kama ufugaji,kilimo,ujenzi etc walizofundishwa....au hata kuajiriwa Kama walinzi...

Maafisa wa JKT ambao hawakupita JW ...ni batch ya kina Gama na Kaswende wao walifundishwa na wa Israel....hiyo batch wamestaafu na wengine wamefariki...uzee..
 
Kuna Major General KARUBI yeye kila kipangiwa MAFUNZo alikuwa anatokea nje na NINAFAHAMU na kulaumu JWTZ kwa MAFUNZO MENGI wakati wao ni MAOFISA na wana VITUO VYA KAZI

Ninaongelea MIFANO ya UKWELI ... MIMI MWANAFUNZI
 
Inasaidia nini kumpandisha cheo askari aanayeanya azi za kiraia kwa PM?
 
mmmh hivi vyeo huwa vinanivutia sana kwenda huku aisee....
 
Kuna Major General KARUBI yeye kila kipangiwa MAFUNZo alikuwa anatokea nje na NINAFAHAMU na kulaumu JWTZ kwa MAFUNZO MENGI wakati wao ni MAOFISA na wana VITUO VYA KAZI

Ninaongelea MIFANO ya UKWELI ... MIMI MWANAFUNZI

Mkuu hujaeleweka kabisaaaa! rudia sentensi zako zimejichanganya naamini mkuu PM hawezi kukuelewa.
 
Dah mambo ya jeshi siyajui, yaliishia jetini!!! Ila yule wa maafa duuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!! Ameshajichokea tu!! Hivi wana staafu kwa miaka mingapi? Bora neema imemdondokea kama ataweza kutumikia cheo kwa mwaka mmoja ili apata mafao mazuri!!!!! I doubt!!
 
Kwahiyo mtu kuwa mlokole kunampunguzia sifa ya kuwa kiongozi sio? Mi nilifikiri nchi yetu haibagui watu kwa imani zao! Yaani Tz walokole wameshaanza kubaguliwa siyo? Kazi mnayo!
Nimetamka imempunguzia sifa ya ziada lakini si kumbagua kama wewe unavyofikiria pia niliwakumbusha kuwa kitengo cha Ujasusi cha Jeshi [Military Intelligence Unit] pamoja na majukumu yake mengine pia wanakazi ya kufuatilia mienendo ya maofisa wa Jeshi kila siku na kuripoti kwa Mkuu wa Majeshi kuna vitu ambavyo vingine si lazima viwekwe wazi kwa watu wote kwa mfano hata Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wabunge wake hawafahamu sisi kama Taifa tuna silaha zenye uwezo gani achilia mbali idadi yake haya mambo huwa yanaachwa hivyo kwa sababu za kiusalama hivyo usishangae kuwa hata Ulokole wa Lt Jenerali Makakala kuwa umempunguzia sifa ya ziada lakini hajatengwa Mkuu wa nchi kampa Uluteni Jenerali ingawa siyo Afisa Mnadhimu Mkuu.
 
Kaka kwenye Tasnia ya kijeshi....idadi ya majenerali inategemea zaidi...na ukubwa wa Jeshi ....usilinganishe Tanzania na marekani ....kule wana active combat soldiers more than one million ....wana operations kila continent ....achilia special operations ......wao hata wakiwa na four star generals 50 ni halali..........ndio maana wao Mkuu wa Majeshi anaitwa Chairman of Joint Generals staff.

Nchi maskini Kama zetu ...ratio yetu ni Askari 5000 kwa brigedia Generals mmoja....Askari 5000 ni divisheni....kwa hapa kuna divisheni zaidi ya tano...na kila moja imomgozwa na brigedia jenerali....mameja jenerali wengi wanakuwa Makao makuu kuongoza Idara kubwa..or wings,...ie personnel ,uhandisi na ugavi,Jeshi la maji,Jeshi la nchi kavu,Anga,Upelelezi,Idara ya utendaji vita or war department .,military medical serv,..mipango ,reserve force na militia,uhakiki etc..na hasa mikakati...idadi nyingine ya brigedia generals ambao hawaongozi divisheni...huwa manaiibu kwenye hivi major wings....na juu yao anakuwapo chief of staff...mmoja ambaye is more or less prime minister ...anaxhughulika na utendaji wa kila Siku ....then CDF...
Mkuu Meja Jenerali hapa kwetu ndiyo wanaongoza Divisheni na siyo Mabrigedia Jenerali.
 
Nimetamka imempunguzia sifa ya ziada lakini si kumbagua kama wewe unavyofikiria pia niliwakumbusha kuwa kitengo cha Ujasusi cha Jeshi [Military Intelligence Unit] pamoja na majukumu yake mengine pia wanakazi ya kufuatilia mienendo ya maofisa wa Jeshi kila siku na kuripoti kwa Mkuu wa Majeshi kuna vitu ambavyo vingine si lazima viwekwe wazi kwa watu wote kwa mfano hata Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wabunge wake hawafahamu sisi kama Taifa tuna silaha zenye uwezo gani achilia mbali idadi yake haya mambo huwa yanaachwa hivyo kwa sababu za kiusalama hivyo usishangae kuwa hata Ulokole wa Lt Jenerali Makakala kuwa umempunguzia sifa ya ziada lakini hajatengwa Mkuu wa nchi kampa Uluteni Jenerali ingawa siyo Afisa Mnadhimu Mkuu.

Kwahiyo hapo ulokole unapunguzaje sifa na wenye imani nyingine kuwa nazo? Ebu jisomee wewe mwenyewe hiyo post yako kwa sauti uisikilize alafu uone kama umejibu swali langu....Njia ya mwongo ni fupi sana...Nepotism haitawafikisha popote!
 
Wajuzi na wachambuzi wa mgawanyo wa vyeo jeshini anisaidie kuelewa zaidi,kwa nini hao wawili wamepandishwa kuwa Lt Gen (Mkuu wa Chuo na Mkuu wa kitengo cha Maafa) na si wale wakuu wa divisheni za jeshi kwa maana Jeshi la Anga,Majini na Nchi Kavu? Nilitegemea hao wa 3 ndio wangekuwa Lt Gen katika utendaji ingewasaidia sana,
 
Sasa kama mtu anasali ktk makanisa ya matapeli wa dini ataaminika vipi kupewa majukumu makubwa ya kijeshi?!
 
Kuna Major General KARUBI yeye kila kipangiwa MAFUNZo alikuwa anatokea nje na NINAFAHAMU na kulaumu JWTZ kwa MAFUNZO MENGI wakati wao ni MAOFISA na wana VITUO VYA KAZI

Ninaongelea MIFANO ya UKWELI ... MIMI MWANAFUNZI

Karubi hakustaafu Kama meja jenerali....alistaafu akiwa Brigedia Generali na Mkuu wa miradi JKT...Kustaafu Kama Brigedia hakuna mafao Kama meja jenerali ambao mafao Yao na Matunzo huusisha...gari mpya kila Baada ya miaka mitano...,mshahara...,dereva..etc...
 
Mkuu Meja Jenerali hapa kwetu ndiyo wanaongoza Divisheni na siyo Mabrigedia Jenerali.

Yeah kwa maana ya land force,air force ,navy ,JKT ....na Idara Za Makao makuu....

Mabregadia...wanaongoza Batalions....ie nyuki,mbuni,...etc...kwenye kanda....Arusha ,dar,Moro,tabora,Songea etc ...
 
HUna lolote lile zaidi ya focus ya Uchaguzi wa 2015. Jk anajua makalala siyo mtu wa kuingilika na mambo yasio leta haki ndo maana akamruka kiaina. Na huyo Chacha naye ni Mlokole? Teuzi za kisiasa hizi hakuna la ziada.

wewe usiwe mjinga kuzungumza vitu usivyovijua. makakala anastaafu mwakani na cheo alichopata ataendelea kuwa mkuu wa NDC .chuo kinahitaji kuongozwa .a. mtu wa
cheo alichopewa.pia kisamba ni anaongoza majeshi ya kulinda amani kutoka nchi mbali mbali huko Darfuu-sudan (kenya,ngeria,misri,bangaradesh,india,ghana,gabon,burundi,rwanda nk) pia huyo mwingine anakwenda kuongoza majeshi ya kulinda amani huko kongo.so muache kumbeza rais anapofanya kazi yake.
 
Back
Top Bottom