mi nakubaliana nawe kuwa kwa ndomba hakukosea. jamani jeshi sio chama cha siasa kinachohitajika utendaji. mimi nilitegemea tutamsifia jk alifanya vizuri bila kuangalia seniority na kuzingatia utendaji zaidi. i wish all of them
Tena Watanzania. watambue jeshi letu linafanya kazi nzuri ktk medani za kimataifa ndio maana tumepata nafasi huko nje na zinahitaji watu ma rank hiyo rais aliyowatunuku hao makamanda.
Muache mazoea ya kumsema rais.pia mwanzo hatukuwa na chuo cha NDC sasa tunacho ambacho kitapunguza gharama za kupeleka makamanda wetu kusoma nje ya nchi na kustadi hapa nchin.hongera mh rais wangu.