abuu garcia
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 227
- 401
Iyo sio app ya eBay ni feki ukitaka kununua nenda kwenye web yao
Acha bhana kwahyo hawa ni wezi au!?? Maana hii app nimeipata playstore na kutokana na reviews za wengi inaonekana ni yenyewe hii.Iyo sio app ya eBay ni feki ukitaka kununua nenda kwenye web yao
Ndo nataka wajuzi wa mambo waje wanithibitishie hili sualaKama kweli ndio hizo bei zao basi nitawatafuta.
- Ghalama ya manunuzi yaweza kuwa ndogo; ilaNa bila kusahau kimashine chenyewe kina kilo zisipungua kilo 20 au kuzidi kilo 25 pamoja kwa ukamilifu wake.
Ghalama utakayopewa ni manunuzi + kusafirisha = Hadi dar (Tz)je kwa milolongo yote mpaka kutua mikononi mwangu kitanigharimu bei gani?
Kwa bidhaa toka nje ya nchi zenye uzito mkubwa ghalama ya kusafirishia huwa ni changamoto.Mimi nna shida kwa mfano na kimashine flani cha kukatia miti chenye thamani ya dola 200 nilichokiona kupitia soko la Amazon.
Bei sio halisiakwa mfano kuna simu inauzwa USD 38. Nyingine 12$ nkasema this is something amazing bei ya fungu la dagaa wanauza smartphone wana utani hawa..
Ndo nataka wajuzi wa mambo waje wanithibitishie hili suala
Ahsante sana nmekupata vizuri sana Mwalimu #RCT na sina tatizo khs kununua mzigo huo kupitia solo LA uchina wala sina tatizo katika usafirishaji kwa njia ya maji. Swali ni kwamba ninaweza kupata machine hiyo huko China yenye imetengenezwa Amerika, Canada, Germany au Brazil? Sihitaji machine Made in China niliwahi kuagiza huko kwa lengo la kupata original kutoka mataifa niliyoyataja hapo juu nikaletewa machine feki. Machine yenyewe niitakayo ni Hasqavarna272 au 268.- Ghalama ya manunuzi yaweza kuwa ndogo; ila
- Ghalama ya kusafirishia ndio ikawa kubwa; Sababu
- Ghalama ya kusafirishia hutokana na uzito wa mzigo, Kwa mzigo wa 20kg , Freight cost (Ghalama za usafirishaji kwa ndege)- inalipiwa USD 561
View attachment 917482
Ghalama utakayopewa ni manunuzi + kusafirisha = Hadi dar (Tz)
Baada ya zigo kufika nchini kuna ghlama zingine za kulipia
- Clearance fee & swisport charge ( hii inafahamika )
- Tax / VAT - Hii mamlaka husika itatutajia kiwango kutegemea na HS code husika.
Kwa ujumla kutakuwa na awamu mbili za malipo.
- Awamu ya kwanza: Mzigo kabla ya kufika hapa nchini ( Manunuzi + kusafirsha)
- Awamu ya pili: Baada ya mzigo kufika nchini.
Kwa bidhaa toka nje ya nchi zenye uzito mkubwa ghalama ya kusafirishia huwa ni changamoto.
Mfano hii bidhaa yako manunuzi ni US $200, ila ghalama ya kusafirisha ni US $561.
Ushauri
- Kwa bidhaa zenye uzito mkubwa ni vyema kutafuta toka china (alibaba) ambapo tutamwomba muuzaj atume kwa njia ya maji (meli), ambapo shipping cost huwa ni ndogo.
KARIBU
Jibu ni hapana.Swali ni kwamba ninaweza kupata machine hiyo huko China yenye imetengenezwa Amerika, Canada, Germany au Brazil?
Nipatie link ya item husika, Na taratibu za manunuzi na kusafirisha zitafanyika.Machine yenyewe niitakayo ni Hasqavarna272 au 268.
Asante sana sana kwa msaada wako. Na juu ya kupata agent huwa ni kampuni gani ina agent wa uwakikaTARATIBU ZA MANUNUZI ALIBABA NI HIZI
1. Mawasilino yanafanyika na muuzaji - Kwenye bidhaaa husika utaona mahala ambapo utaweza ku_wasiliana na muuzaji moja kwamoa
2. Muuzaji atakumia INVOICE ikiwa na ghalama yote (MANUNUZI + KUSAFIRISHA hadi bandari ya DSM)
3. Utafanya malipo - Kwa njia ya malipo mliyokubaliana na aMuuzaji
4. Mzigo wako utaandaliewa na kutumwa, iwapo unakuja kwa njia ya maji basi huchukua wiki 5 hadi 7 kufika nchini
5. Baada ya mzigo kufika nchini ndipo taratibu za kuutoa mzigo bandarini unafanyika - Inatakiwa uwe na agent
6. Kuutoa bandari mzigo huwa kuna ghalama zake - Zita ainishwa na agent wako
7. Mwisho utalipia KODI/ VAT kutegemea na hesabu utakayopewa na TRA
KARIBU
Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
Kinachofanyika hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
Ndicho wanachikifanya. EasyBuy
- Muda: Hutegemea njia ya usafirishaji itakayo tumika
- Ghalama: Inaongezeka sababu ya fees & handling charges zao[/QUOT.
Fuata mwongozo nioandika hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForumsKuna bidhaa nahitaji kuinunua katika app ya manunuzi online ya ally expres kama yupo anae jua humu nahitaji msaada wake wa kuninunulia