Biashara ya kuagiza bidhaa

Munirah seiph

Member
Aug 14, 2017
88
90
Wana mazengo baada ya kufanya sana biashara hii ya kuagiza bidhaa nchi mbalimbali kama vile China, Turkey, India, oman nk. Kwa takriban miaka 7 sasa ikiwa ni mjumulisho wa miaka 4 bila eneo la biashara na miaka 3 nikiwa katika eneo langu la biashara.

Nia na lengo la kuleta uzi huu leo kwenu nilikuwa naomba support yenu kuna wale wanafunzi wa chuo au wafanyabiashara huwa wanachukua bidhaa kwa watu na kuwauzia rafiki, ndugu, wafanyakaz wenzao nk. Kwan kuongeza cha juu kwa lugha nyengine wanaitwa (MAWINGA) nahitaji hao watu ili waweze kuniboost katika mauzo yangu

Duka langu lipo Tabata kimanga mwisho
Instagram page: nirrahty_Shopping_hubs
Facebook: nirrahty shopping hubs
Telegram: nirrahty shopping hubs

Kwa yeyote ambaye atakuwa amependezwa kufanya biashara na mm naomba ani Dm

Msinichambe nimejaribu kuelezea hivyo kuonyesha tu nina experience ya mda mrefu kidogo na biashara yangu changamoto ndogo ndogo naweza kuzisolve na naweza kutoa elimu pia kuhusu biashara hii.

Napokea Ushauri pia
 
Mi naomba unisaidie namna ya kuagiza bidhaa turkey

Kuna kiatu made in turkey nakitaka
 
Back
Top Bottom