Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Mwl.RCT

Mwl.RCT

Verified Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
7,314
Likes
4,293
Points
280
Mwl.RCT

Mwl.RCT

Verified Member
Joined Jul 23, 2013
7,314 4,293 280
Swali ni kwamba ninaweza kupata machine hiyo huko China yenye imetengenezwa Amerika, Canada, Germany au Brazil?
Jibu ni hapana.

Ni vyema ukaendelea na taratibu za manunuzi direct toka nchi husika.
- Iwapo utanunua Germany basi mzigo nitaupokea ofisini Kelsterbach
- Iwapo manunuzi yatafanyika Canada mzigo nitaupokea ofisini Mississauga
- Na iwapo utaununua kutokea Amerika basi nitaupokea Springfield Gardens

Baada ya kuupokea kwenye nchi husika ndio nitausafirisha kuja Tanzania, na mzigo ukifika basi utajulishwa na utakuja kuuchukua ofisini.

Karibu
Mawasiliano:
Post ya kwanza hapa ina mawasiliano: www.bit.ly/101buy4me
 
I

Ibramobetto

Member
Joined
Feb 1, 2018
Messages
8
Likes
4
Points
5
I

Ibramobetto

Member
Joined Feb 1, 2018
8 4 5
JINSI YA KUPATA $30 NO DEPOSIT BONUS YA TEMPLER.

[TAFADHALI SOMA TERMS AND CONDITIONS: ZIMEUNGANISHWA]huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....ANGALIZO:

Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.HATUA ZA KUFUATA:

1. Fungua akaunti mpya hapa:https://secure.templerfx.com/login/sign_up/1625852. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:NDB30JN42017Then submit.5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.6. Kama huna MT4 ,download hapa:MetaTrader 4 – Applications Android sur Google PlayStart Trading!!Jisajili hapa upate bonus kirahisihttps://secure.templerfx.com/login/sign_up/162585Ukihitaji msaada wowote, nicheck inbox

+255769095171
 
Ndeteiyo

Ndeteiyo

Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
45
Likes
7
Points
15
Ndeteiyo

Ndeteiyo

Member
Joined Sep 13, 2016
45 7 15
Write your reply... kwa aliepata chuo cha ustawi ngazi ya cheti na anahitaj chumba karibu na chuo cha ustawi wa jamii bamaga anicheki pm
 
Carleby

Carleby

New Member
Joined
Jan 27, 2018
Messages
2
Likes
0
Points
3
Carleby

Carleby

New Member
Joined Jan 27, 2018
2 0 3
TARATIBU ZA MANUNUZI ALIBABA NI HIZI

1. Mawasilino yanafanyika na muuzaji - Kwenye bidhaaa husika utaona mahala ambapo utaweza ku_wasiliana na muuzaji moja kwamoa

2. Muuzaji atakumia INVOICE ikiwa na ghalama yote (MANUNUZI + KUSAFIRISHA hadi bandari ya DSM)

3. Utafanya malipo - Kwa njia ya malipo mliyokubaliana na aMuuzaji

4. Mzigo wako utaandaliewa na kutumwa, iwapo unakuja kwa njia ya maji basi huchukua wiki 5 hadi 7 kufika nchini

5. Baada ya mzigo kufika nchini ndipo taratibu za kuutoa mzigo bandarini unafanyika - Inatakiwa uwe na agent

6. Kuutoa bandari mzigo huwa kuna ghalama zake - Zita ainishwa na agent wako

7. Mwisho utalipia KODI/ VAT kutegemea na hesabu utakayopewa na TRA

KARIBU
Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
Asante sana sana kwa msaada wako. Na juu ya kupata agent huwa ni kampuni gani ina agent wa uwakika
 
Darmian

Darmian

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
3,807
Likes
6,773
Points
280
Darmian

Darmian

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
3,807 6,773 280
X

xenon

Senior Member
Joined
Nov 17, 2016
Messages
124
Likes
48
Points
45
X

xenon

Senior Member
Joined Nov 17, 2016
124 48 45
Kuna bidhaa nahitaji kuinunua katika app ya manunuzi online ya ally expres kama yupo anae jua humu nahitaji msaada wake wa kuninunulia
 
nkuwi

nkuwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Messages
3,117
Likes
2,544
Points
280
nkuwi

nkuwi

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2013
3,117 2,544 280
Kuna bidhaa nahitaji kuinunua katika app ya manunuzi online ya ally expres kama yupo anae jua humu nahitaji msaada wake wa kuninunulia
Kuwa makini mkuu,

kuna jamaa zetu hapa akina Mwl.RCT ni waaminifu wanaweza kukusaidia,
 
Ntwa A. Katule

Ntwa A. Katule

Verified Member
Joined
Jan 4, 2017
Messages
186
Likes
136
Points
60
Ntwa A. Katule

Ntwa A. Katule

Verified Member
Joined Jan 4, 2017
186 136 60
Ni rahisi sana kama unayo kadi ya benki inayoweza fanya mananuzi online. Na mzigo unafika kwa njia posta bila shida kuanzia wiki tatu.
 
Maserati

Maserati

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Messages
11,627
Likes
19,088
Points
280
Maserati

Maserati

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2014
11,627 19,088 280
Ghalama zao ziko juu.

Mfano
- Kwa mzigo wa 1kg mimi natoza US $44, kwa mzigo utakao upata ndani ya siku 8-14
- Lakini kwa wao ghalama kwa hiyo 1kg inaanzia us $61.57

- Pia wakati wao wanashughulika na manunuzi ya CHINA na USA, Kwa mimi kupitia huduma ya BUY4ME ninafanya karibia mahara popote pale iwe ni Australia, Canada, Japan, China, Thailand, Dubai, Germany, Uk, US, South Africa, etl kwa zaidi ya mataifa 20 naweza kukununulia mzigo na ukakufikia nchini ndani ya muda husika kati ya siku 8 hadi 14tu.

Karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
View attachment 897602
Mkuu,vipi nikinunua mzigo ambao uzito wake haufiki hata 1 kg unachaji vipi? Na mfano nikihitaji kitu amazon wewe ndio inakuwa was kuship to Tz au?
 
Mwl.RCT

Mwl.RCT

Verified Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
7,314
Likes
4,293
Points
280
Mwl.RCT

Mwl.RCT

Verified Member
Joined Jul 23, 2013
7,314 4,293 280
Na mfano nikihitaji kitu amazon wewe ndio inakuwa was kuship to Tz au?
Sahihi, mimi ndio nitawajibika kukusafirishia

Yaweza kuwa ni
- Amazon UK
- Amazon USA
- Amazon India (Souq.com )
Basi nitawajibika kukufikishia mzigo hapa nchini.

Kwa kutumia huduma yangu ya BUY4ME waweza kufanya manunuzi kutoka mataifa zaidi ya 20 ulaya/ asia & marekani

Karibu
 
IRINGA DECOR

IRINGA DECOR

Member
Joined
Oct 29, 2018
Messages
61
Likes
38
Points
25
IRINGA DECOR

IRINGA DECOR

Member
Joined Oct 29, 2018
61 38 25
Sahihi, mimi ndio nitawajibika kukusafirishia

Yaweza kuwa ni
- Amazon UK
- Amazon USA
- Amazon India (Souq.com )
Basi nitawajibika kukufikishia mzigo hapa nchini.

Kwa kutumia huduma yangu ya BUY4ME waweza kufanya manunuzi kutoka mataifa zaidi ya 20 ulaya/ asia & marekani

Karibu
Hello....wakuu wangu poleni na majukumu ya kila siku .... IRINGA DECOR bado tunaendelea na ofa ya furniture mbalimbali katika msimu huu wa Xmas na mwaka mpya ....tutaendelea kutuma bei zetu rafiki kwa mtanzania wa kawaida .... Zifuatazo ni bei za makabati ya jikoni( kitchen cabinets) ,zikifuatiwa na bei za milango BEI ZA KITCHEN CABINET KWA MSIMU HUU WA XMAS NA MWAKA MPYA -Mbao aina ya mninga au mkongo 940,000/=
BEI HII INAHUSISHA VITU VIFUATAVYO SIZE .Mita moja ya Kabati la chini na Kabati LA juu yote kwa pamoja , pamoja na marble **940,000/= kwa kila mita moja MDF PINE 525,000/= BEI HIYO INAhusisha mita moja Kabati LA chini na juu pamoja na marble MILANGO NA FREM ZAKE *MBAO ,MNINGA AU MKONGO 350,000/= *MBAO ..ZINGNEZO 265,000/= *JOINED BORD 325,000/= KWA HUDUMA ZA KITCHEN CABINETS TUNAKUFUATA MTEJA MPAKA ULIPO....milango tunafikisha mpaka ulipo kwa gharama zetu
KARIBUNI SANA KWA BIDHAA ZETU ZENYE UBORA WA HALI YA JUU Call/text/WhatsApp. 0657888724
 
ulekwe

ulekwe

Senior Member
Joined
Oct 28, 2014
Messages
134
Likes
85
Points
45
Age
26
ulekwe

ulekwe

Senior Member
Joined Oct 28, 2014
134 85 45
Hello....wakuu wangu poleni na majukumu ya kila siku .... IRINGA DECOR bado tunaendelea na ofa ya furniture mbalimbali katika msimu huu wa Xmas na mwaka mpya ....tutaendelea kutuma bei zetu rafiki kwa mtanzania wa kawaida .... Zifuatazo ni bei za makabati ya jikoni( kitchen cabinets) ,zikifuatiwa na bei za milango BEI ZA KITCHEN CABINET KWA MSIMU HUU WA XMAS NA MWAKA MPYA -Mbao aina ya mninga au mkongo 940,000/=
BEI HII INAHUSISHA VITU VIFUATAVYO SIZE .Mita moja ya Kabati la chini na Kabati LA juu yote kwa pamoja , pamoja na marble **940,000/= kwa kila mita moja MDF PINE 525,000/= BEI HIYO INAhusisha mita moja Kabati LA chini na juu pamoja na marble MILANGO NA FREM ZAKE *MBAO ,MNINGA AU MKONGO 350,000/= *MBAO ..ZINGNEZO 265,000/= *JOINED BORD 325,000/= KWA HUDUMA ZA KITCHEN CABINETS TUNAKUFUATA MTEJA MPAKA ULIPO....milango tunafikisha mpaka ulipo kwa gharama zetu
KARIBUNI SANA KWA BIDHAA ZETU ZENYE UBORA WA HALI YA JUU Call/text/WhatsApp. 0657888724
unapokea malipo kwa paypal
 
Forum statistics

Threads 1,250,497
Members 481,367
Posts 29,735,645