Salaam wanajukwaa

Kwanza niseme kuwa nachofurahi toka nimeanza kuagiza vitu mtandaoni aliexpress ya alibaba sijawahi kuibiwa au mzigo kupotea nimewahi kuagiza vitu tofauti zaidi ya mara 40 na vikafika vyote


Sasa hivi kuna parcel mbalimbali kama kumi hivi tofauti tofauti nimeagiza

Ila kuna parcel moja nimenunua aliexpress nimetumiwa kupitia posta ambayo kiukweli sikuwahi kuijua au kuwa na uzoefu nayo nayo bpost au beligium international post

Wajuzi ambayo mshawahi kutumia hii posta tafadhali nambieni inachukua siku ngapi mzigo kufika?
Hua unalipaje?
 
Vipi mkuu kuhusu mizigo mikubwa au mizito ambayo inahitaji kusafirishwa na meli, ni agent gani mzuri world wide.
 
Wana system yao ipo kama paypal wanaita "alipay" hapa unalink card yako unalipa then zile pesa wanazishikilia mpaka utakapothibtisha umepokea mzigo ndo seller analipwa otherwise km hujapata mzgo wanakurefund
alipay mbona kama kwa tz inakataa unga.maana sijaona.katika list nchi ya tz
 
Ku
Ahsante mkuu kwa mchango wako. Ila me debit card yangu inazingua kulink na paypal. Billing address iko sawa ila wanazingua
Mbona sasa inasemwa kuwa huduma za PAYPAL kwa bongo hazifanyi kazi, yaani BOT haijaruhusu kisheria. Nimeisoma humuhumu jukwaani juzi tu, mdau alikuwa analalamika. Hebu nieleweshenI hapo
 
Mleta mada au mwana JF yeyote mwenye maujuzi juu ya KUUZA VITU kwenye hizo sites hasa huko AMAZON atujuze. Naambiwa ni biashara nzuri na yenye pesa kedekede. Binafsi nimekuwa naisoma tu kupitia jamaa fulani wa USA wanaojiita Amazing Selling Machine (ASM). Mwenye maujuzi ya uuzaji au kufanya biashara huko atujuze tafadhali.
 
GOOD DISCUSSION THIS IS THE RIGHT TIME TI TAKE RISK., SWALI LANGU NI HIVI. KODI UNALIPA WAPI NA MZIGO UNAPOKELEA WAPI
 
Mwl. RCT heshima kwako nimepitia thread nzima leo nimejifunza mengi ambayo nilikuwa sielewi na nimeona fursa kubwa sana hapa. Asante kwa kila mmoja na JF kwa ujumla hii ni shule kubwa. Naahidi muda ukifika nitakutafuta Mwl. Ubarikiwe saana
 
Back
Top Bottom