Naomba kujuzwa namna ya kuagiza bidhaa hii kwa AliExpress

Umuzukuru

JF-Expert Member
May 30, 2019
609
540
Habari za siku wadau wa JF,

Moja kwa moja kwenye mada,

Katika pita zangu huko mtandaoni katika masoko mtandao kama AliExpress na Alibaba nimekutana na hii bidhaa, bidhaa nauhitaji nayo lakini namna na taratibu za kuiagiza ndio naona kipengele ukizingatia ni mara ya kwanza kwenye hizi mambo za kuagiza bidhaa mtandaoni so hofu yangu iko kwenye uhakika wa kupata mzigo iwapo nitaagiza.

So lengo la uzi ni msaada wa namna au mawazo na mbinu,taratibu nazoweza kufuata ili mwisho wa siku nifanikishe huu uagizaji,so kwa wazoefu naombeni mnisaidie hapo au kama kutakuwa na mtu mwenye hiyo bidhaaa kwa bei lingani hapo anaweza kunicheki pia.

Screenshot_20230714-212337.png
 
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baadhi yakuona thread Yako.

Ningependa kukupa fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar Kwa gharama nafuu

Unaeza agiza nasi hatakama huna pesa kamili ss tukanunua Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo.

Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations. Karibu sana chief whatapp+255765018958
 
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baadhi yakuona thread Yako.

Ningependa kukupa fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar Kwa gharama nafuu

Unaeza agiza nasi hatakama huna pesa kamili ss tukanunua Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo..

Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations. Karibu sana chief whatapp+255765018958
Ok
 
Habari za siku wadau wa jf,

Moja kwa moja kwenye mada,

Katika pita zangu huko mtandaoni katika masoko mtandao kama AliExpress na Alibaba nimekutana na hii bidhaa,nbidhaa nauhitaji nayo lakini namna na taratibu za kuiagiza ndio naona kipengele ukizingatia ni mara ya kwanza kwenye hizi mambo za kuagiza bidhaa mtandaoni so hofu yangu iko kwenye uhakika wa kupata mzigo iwapo nitaagiza

So lengo la uzi ni msaada wa namna au mawazo na mbinu,taratibu nazoweza kufuata ili mwisho wa siku nifanikishe huu uagizaji,so kwa wazoefu naombeni mnisaidie hapo au kama kutakuwa na mtu mwenye hiyo bidhaaa kwa bei lingani hapo anaweza kunicheki pia.

View attachment 2688270

Kwenye hio bidhaa angalia kuna option za kutuma mzigo wenyewe wameeka gharama zao
Ndio maana kuna kipengele cha kujaza sehemu uliopo
 
Wakuu poleni na majukumu, hongereni kwa Swaumu pia wale wa kwarezma hongereni.

Wakuu samahanini kuna msaada nauomba kutoka kwenu, nataka niagize bidhaa kutoka alibaba lakini kuna mahala pananipa changamoto, sehemu Yenyewe ni kufungua account sehemu ya company najaza nini na sina company 😅 lakini pia kwenye area na phone number naambiwa not less than 16 na hapo pia sijaelewa wakuu. Naombeni msaada
 
Back
Top Bottom