JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

Dah ngoja nitafute muwezeshaji lol
Abadani asilani sikubali kuachwa
Hii kitu ni noumer jombaa.
Tunaenda Mwanza na JOTO, HASIRA.

Arusha Wing-Ze Klub Billionaire!
La Decisio Unificasio & Intergrasio.

Mwanzaaa, tunakuja kuwakandamizaaaa!!

Tanga Wing wanajuwaaaa! Big up YNNAH!!!...new member arusha Wing!

Mwanza tunakuja kuwanunuaaa!
Chezeya Tanzanite wewee!
 
Last edited by a moderator:

Teh teh
Basi sawa ngoja nijitahidi
 
Last edited by a moderator:
Watatu tuu.... MIe nataka mje mle mpaka muwakinai.... Afu kwa Babu Dark City itamfaa zaidi make inarejesha heshima ya ndoa !!!!!!!!!!!!!!!

Heshima gani tena mstaafu atahangaika nayo??

Hivi ulishaona mchezaji wa mpira anahangaika na viwango anapokuwa mwishoni mwa maisha yake ya soka??

Babu is retired....!!

Babu DC!!
 
Ha ha ha... Filipo take a note.

Noted and filed for further action!!!

Kumbe Filipo ushaanza kutumia Supu za Pweza na Vi&&nembe?...nasikitiaka.
When i was yr age i was as strong as a rhino!
Unajua 7*7/24 wewe?

Mkuu hiyo ni kwa maandalizi ya maisha baada ya kustaafu soka! Yaani tutakapokuwa tunahudhuria kwenye bonanza kama maveterani!
 
Preta kama mwaka jana tulivoenjoy TANGA na mwaka huu nadhani tuta-enjoy zaidi.
Kama kawa, hesabu na mimi, tutakuwa pamoja.
Nina hamu na Rock City.
CC: kandukamo1 nisubiri huko huko, naja.
Daaaah.............Mama Mtumishi nawe waja? Tuombe uzima tuwe hai,ingawa likizo hii mipango ni kwenda kula X-MAS na bibi kijijini Matema beach.
 
Hii kitu ni noumer jombaa.
Tunaenda Mwanza na JOTO, HASIRA.

Arusha Wing-Ze Klub Billionaire!
La Decisio Unificasio & Intergrasio.

Mwanzaaa, tunakuja kuwakandamizaaaa!!

Tanga Wing wanajuwaaaa! Big up YNNAH!!!...new member arusha Wing!

Mwanza tunakuja kuwanunuaaa!
Chezeya Tanzanite wewee!

Aiseeeeeeee.... Hanunuliwi ntu hapa!

Unadhani tukiunganisha utajiri wa mapanki, dhahabu na almasi... Tanzanite itaona ndani???

U wait.......!
 
Last edited by a moderator:
Selo ingemuhusu.

Kama kawaida yako! Ulimweka selo safari ya Tanga safari hii sidhani kama utaweza!

ulitaka ukatike wewe Filipo?

Alafu wewe! Huo ubishi wako hautakusaidia chochote! embu kam zis wei kwanza maana unaweza ukajikuta hata Mza huendi!

hahahaha hajui wewe ndio mtaalamu wa makirikiri.....

Heshima kwako Mkuu! I hope nitakuona Mza! Usisahau lile deni langu!

amu Mbona hujanikopi na mimi jamani naanza kudunduliza kibubu

Ukiona hivyo ujue inanihusu mimi tu! Hata Preta ni kwa information tu!

apo chacha, hebu mwambie huyo

cc: Filipo

Nakuangalia tu!!!

Duuu! nimeipenda hii lol Arushaone

Ukiona hivyo ujue kuna fumanizi!

Ha ha ha! wewe Lily Flower kumbe inaruhusiwa kunisemea? ahsante kunipenda nakupenda pia.
:A S-confused1:ngoja mie nitangulie 😛lane: tutaonana Mwanza Mwanyasi

Copy: Mungi
Mtu chake bana!

WanaChugga hapa nshaweka order ya Sato, Sangara, Kamongo, Ningu, Mumi, Soga bila kusahau Vi.nembeeeee.....

Andaeni makoo yenu!!!!!

C.c. Arushaone, PakaJimmy, Preta, Lady doctor, Crashwise, Lily Flower, LiverpoolFC, Madame B, watu8, Babu Dark City & Asprin IGWE, Erickb52. ......

Hivi umeniacha kwa kukusudia au bahati mbaya!!!!!!?
Ngoja nikifika huko ndio utaniambia vizuri!
 
Last edited by a moderator:
Babuuuuu ...... Ng'ombe hazeeki maini, katika uzee wako ushawahi kuitwa "Baby" wewe??????

charminglady,
Tafadhali mkitaka kumkumbushia Babu Dark City mambo ya ujana wake nawasihi sana muanze na dozi ndogondogo.
Hala hala jamani!...bibi bado anamhitaji sana huyu mtu, maana pamoja na umri kumtupa mkono bado anapalilia kiunga chake cha nazi, japo mdogomdogo.
 
Last edited by a moderator:
Kama kawaida yako! Ulimweka selo safari ya Tanga safari hii sidhani kama utaweza!

Alafu wewe! Huo ubishi wako hautakusaidia chochote! embu kam zis wei kwanza maana unaweza ukajikuta hata Mza huendi!

Heshima kwako Mkuu! I hope nitakuona Mza! Usisahau lile deni langu!

Ukiona hivyo ujue inanihusu mimi tu! Hata Preta ni kwa information tu!

Nakuangalia tu!!!

Ukiona hivyo ujue kuna fumanizi!

Copy: Mungi
Mtu chake bana!

Hivi umeniacha kwa kukusudia au bahati mbaya!!!!!!?
Ngoja nikifika huko ndio utaniambia vizuri!

Mmmh..... Yawezekana marejesho kakuwekea limbwata ili uwe invizibo!!!! :doh:
 
Last edited by a moderator:
charminglady,
Tafadhali mkitaka kumkumbushia Babu Dark City mambo ya ujana wake nawasihi sana muanze na dozi ndogondogo.
Hala hala jamani!...bibi bado anamhitaji sana huyu mtu, maana pamoja na umri kumtupa mkono bado anapalilia kiunga chake cha nazi, japo mdogomdogo.

Sawa PJ.. Basi ntampa dozi ndogo ndogo!
 
Last edited by a moderator:
Babuuuuu ...... Ng'ombe hazeeki maini, katika uzee wako ushawahi kuitwa "Baby" wewe??????

Eti nini??

Siku mtu akinitamukia upuuzi kama hao naubeba mkuki wangu na kujiandaa kwenda kule nyumbani kwa Babu Seya....

Na umri huu niitwe hivyo ili inisaidie au kunipa nini ambacho sikukipata toka 1947?

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom