Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,919
Hakyanani lazima nije nikupokee aiseeeEiyer hapa nishapaki kibegi changu nasubiri siku ya safari hata km nitakua mgonjwa siwezi ikosa hii.
Uko poa lkn swaiba?
Nitakupeleka Ukerewe kule kwenye ule mti jani lake likidondoka tu linabadilika kuwa Mamba
Au we mwoga?
Niko poa sana best
Missing you much!!!!