asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,040
aiseeeeee!!bata batani
acha mkwara , utakuwepo weye?
aiseeeeee!!bata batani
Siku mbili Mwanza hazitoshi, labda kama lengo ni kuonja onja.
I will be there mummy....cant wait
Yes!! We will be together then we go to take Nsenene au siyo KOKU? Kuja huku mpaka Jan. 2014 OK?
Mkuu wallahi mwaka huu siendi kuhesabiwa, na nikienda Mwanza narudi mwakani, liwapo na liwe bhana kwani nini?
BTW Habari za huko duniani mkuu!
halafu wewe umezidi kutukimbia.....hebu this time do the needful.........
Mie mzima...
Naweza kutia timu chuga wk hii...
Nitawatafuta tuweke mambo sawa...
Babu DC!!
Habari ndo hiyo, yaani hiyo mpaka KANYIGO, BUGENGERE, MISENYI na kwingineko senene kahawa kwa sana.
By the way waendelleaje???
Huku kwema mkuu,
Preta kapotea njia akidhani ya mwaka jana yatajirudia. Safari hii ntaufunga mgodi kwa ajili yake.
teh! Bibie wewe na Paw hamuhusiki ile ni party ya mabilionea nanyi sio!