brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,301
hhahahah mi nakuja niwekee nyayo tasavali
teh,uku tunataka upper limbs makanyagio hatuyataki mwanz lol
hhahahah mi nakuja niwekee nyayo tasavali
hahahaha..naona unazidi kunipiga nokiauti
hahahaaa......... Sikupigi nokiauti bana, we twendzetu tukajilie manumbu lol!
teh,uku tunataka upper limbs makanyagio hatuyataki mwanz lol
Hahahah.........itabidi Ikulu yetu (Rocky City Wing)ipiganiwe isikodishwe kama Magogoni na ujio wa Obama.
Duuu! nimeipenda hii lol Arushaone
Hope hii itakua ya kusimuliwa yaani nimehamia tu nakutanishwa na maburudani lol!
Nishajaza form ya likizo hahahah! km boss alijua kaipitisha bila pingamizi ndani ya Rock city hahahah!
Cc baba baba Mtambuzi unavojidaigi kulinda safari hii itakual kwako lol!
Hii itapendeza sana maana tutakuwa na kikao cha siku tatu + alawenci ya kutosha pale rockcity tarehe hizo
Mie nimependa hapo kwenye red ati mwe mwe mwe. halafu nakupenda Mwanyasi
Hii itapendeza sana maana tutakuwa na kikao cha siku tatu pale rockcity tarehe hizo
Mkuu Mwanyasi ,Utamuweza mzee wa Botswana! hivi we Arushaone mkeo Lady doctor hajambo?
Halafu nilikuwa nakushangaa umeisusa hii thread wakati ina mautamu kama ya pale Milestone-Sakina!Hope hii itakua ya kusimuliwa yaani nimehamia tu nakutanishwa na maburudani lol!
Nishajaza form ya likizo hahahah! km boss alijua kaipitisha bila pingamizi ndani ya Rock city hahahah!
Cc baba baba Mtambuzi unavojidaigi kulinda safari hii itakual kwako lol!
Yaan hapa kilichobaki ni kuomba mungu tu wote tuwe na uzima maana i cant wait to be in Rock City lol!
Ha ha ha! wewe Lily Flower kumbe inaruhusiwa kunisemea? ahsante kunipenda nakupenda pia.
Basi ngoja mimi niombe:
جنفدسبدجفطفھس فدبجقنطن
طدقجندساسبدبجسطسطنجفجدبسجنطسد
طفجفجشاسبسجسجنجہمتطفجدنطنجکج
فسجدنسفنطندطسطسطسطسطسطسجسط
طنجسطسسطسسجسدفطسجسجسطففددنن. ع. Amen
Utamuweza mzee wa Botswana! hivi we Arushaone mkeo Lady doctor hajambo?