hizi zaweza kuwa habari njema eeeh!!! atakuwa koloni huru????
Sis wewe tena.... Yaaan shaka ondoa tena utafikia kwanngu!!!!
Yuu jasti comyuniceti
Anzia na sifuri
yeah, nitajiandaa kabisa kuja kukukagua na nitakuja na dhana kabisa.
Daily napiga chabo huu uzi natolewa nduki na mashambulizi ya hawa mabilionea wa chugga. Kimsingi Charminglady hawa raia ujio wao sio wa verse moja kwani mawe yao si haba.
Na ukikosa hairudi tena tehe tehe.Ha ha haa naongezea hapo...HII SI YA KUKOSA, WATAKUCHEKA WATUU
Daily napiga chabo huu uzi natolewa nduki na mashambulizi ya hawa mabilionea wa chugga. Kimsingi Charminglady hawa raia ujio wao sio wa verse moja kwani mawe yao si haba.
Kabisa huko kuna kila aina ya mistari, tehe tehe
Kabisa huko kuna kila aina ya mistari, tehe tehe
Ha ha haa naongezea hapo...HII SI YA KUKOSA, WATAKUCHEKA WATUU