KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Na ukikosa hairudi tena tehe tehe.
Na ikirudi will never be the same
Na ukikosa hairudi tena tehe tehe.
hahahahahah,uwiii kuna kaukwel umejuaje kwanza....afu ntaomba preta aspecify kuanzia miaka mingap naona haijatangazwa rasmWe c under 18?
hahahaha karibuni sana na mbwembwe zoteKuku tu brenda, njiwa watakasirika, kunguru watakodoa na kasuku watatuburudisha
Nini mbaya FirstLady1?
-Umesafiri?
-Unaumwa?
-Kakaangu mkorofi nini?
-au utakuwa umechoka kwaajili ya naniliu, si unajua kaka mtundu!
Hebu soma Pm kwanza.
Nzuri tu za kuadimika mpenzi
Nzuri my Dear huku kuadimika kuna sababu zake lakini yote heri, vipi Mwanza kunaendeka?
Labda niwarudishe nyuma kidogo.
-Mara ya kwanza kabisa Tulipokwenda Tarangire safari ile ilizaa matunda, asiejua kilichotokea aniandikie barua kuuliza!
Mara ya Pili, last Year tulienda Tanga, na kilichotokea wote mlisoma thread ya Mwanyasi jana!
December tunaenda Mwanza, na tayari tuna uhakika kuwa kuna jambo kubwa sana linaenda kutokea!, lakini ni jambo zuri sana, msiogope.
Hivyo safari yetu ya sasa imepewa swaga au kaulimbiu ya BIG RESULTS NOW...maana itatoa matokeo ya haraka, na wote mtayasikia!
Wana Mwanza tunakuja kuwapotezaaaa, kaeni mkaooo!
Tunakuja kuwafundisha kuwa huku Chuga Magugu-Maji ni Mboga!...chezeyaaa!!
Kwa jina lingine kauli mbiu yetu ni WEKA MBALI NA WATOTO!!
Weka mbali na U4 Saro!
Ha ha haaaa!...
Cantalisia,
Preta, Blaki Womani, Lily Flower YNNAH, Filipo, Arushaone, marejesho, Madame B, KOKUTONA, Arabela, Smile Erickb52
hahaha,kimuhemuhe a.k.a kihebehebe
thatha we ulitegemea ntakuwa wap eti?tunaandaa kila kitu ila chondechonde mcje uku kwa nia ya kununua viganja vimeshaisha
ulitaka ukatike wewe Filipo?
Mkubwa Shagiguku
Tunashukuru sana kwa Makaribisho ya Sato! Hakika tuna hamu sana kufika Jiji hilo la wakarimu.
Kuna thread ilipata kuwekwa humu ndani zamani kidogo ilikuwa inasema Ukitaka kuoa, basi oa Msukuma!
Kwa bahati mbaya mi nilioa zamani!
Pamoja na kwamba wasukuma ni wakalimu na wavumilivu wa kila hali (NDUHU TABU) lakini tunapokuwa tumefikia mwisho wa uvumilivu huwaga haturudi nyuma (YAYA NALEMAGA-SHI) yaani ukimsikia msukuma anatamka hayo maneno basi weye anza mbele tu maana hakuna kitu kingine kitakacho mfanya abadili mawazo.
Hivo hata kama unaoa musukuma lakini ujue kuwa akikataa kitu anakuwa amekataa kweli!!! @ PakaJimmy
teh,nikutafute wap thathaAfu wewe mtoto nitafute!