Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,652
charminglady,
Tafadhali mkitaka kumkumbushia Babu Dark City mambo ya ujana wake nawasihi sana muanze na dozi ndogondogo.
Hala hala jamani!...bibi bado anamhitaji sana huyu mtu, maana pamoja na umri kumtupa mkono bado anapalilia kiunga chake cha nazi, japo mdogomdogo.
Bora leo umenipa kampani mwenyekiti na kujaribu kunilinda....
Sasa dozi ya nini wakati babu anakula pensheni??
Otherwise tuko pamoja....
Babu DC!!